Yanga bad signing this season ni Dube, Boka, Chama and Baleke

Kinacho mbeba Mzize ni uraia na umri wake labda, lakini naamini hata kocha anakerwa na madudu yake.
Ila hata mimi kwaupande wangu, kwa wachezaji wa zawa, kwenye nafasi anazocheza Mzize, naanza na Mzize, sioni mbadala wake.
Mbadala wa mzize wapo wengi sana.

Mzize anacheza mbele ya wachezaji wenye quality kubwa kwenye ligi lakini anaboronga.

Sasa wachukue washambuliaji wazawa uwape mechi kumi kila mmoja pale yanga, wakae mbele ya aziz, pacome na max naamini watakuwa magoli sawa au zaidi ya aliyofunga mzize msimu mzima.
 
Hivi wewe jamaa ni Mwananchi mwenzetu kama ambavyo huwa unajinadi? Kutwa kuja na nyuzi za mafarakano au ukosoaji.

Unawapima wachezaji kwa mechi moja? Uko sawasawa kweli?
Wewe wapime kwa mechi nying,,yeye katumia kipimo Cha mechi Moja,, usiingilie watu kwenye Vipimo vyao
 
Mzize bado sana. Kuna mpira akiwa kwenye box alitakiwa kupiga shuti badala yake anaendelea kupiga chenga mabeki , sasa sijui alitaka kupiga chenga hadi milingoto ya goli. Afundishwe kufunga sababu kuji position keshajua
mzize is the best attack player yanga have. he just need to be more lethal. he will be deadly soon. that's why azam wants him. he is chaotic.
 
Mzee Magoma ndiye atakuwa Mgeni rasmi Simba Day
 
Something wrong upstairs, please check the overview of FC Augsburg
if you have silly excuses. you have a silly life. more than 18 players played for yanga. it's boka who played the least minutes got threatening injury.

a stupid d*mb yanga fan. creating augsburg excuse. pathetic fans. Hard times create strong men.
 
You do not have knowledge of situational analysis and social inference
 
Hivi wewe jamaa ni Mwananchi mwenzetu kama ambavyo huwa unajinadi? Kutwa kuja na nyuzi za mafarakano au ukosoaji.

Unawapima wachezaji kwa mechi moja? Uko sawasawa kweli?
Anaongelea kupress. Dube hajacheza miezi 6, na ni Center forward unategemea umuone vipi?

Kukaba na striker wa kati wapi na wapi?

Anaweza kufanya lakini siyo suala la msingi.

Kiungo, imekatika mabeki wanazidiwa unategemea umuone striker vipi??
 
Kwa Chama ni issue ga muda tu watamkataa.
 
Anaongelea kupress. Dube hajacheza miezi 6, na ni Center forward unategemea umuone vipi?

Kukaba na striker wa kati wapi na wapi?

Anaweza kufanya lakini siyo suala la msingi.

Kiungo, imekatika mabeki wanazidiwa unategemea umuone striker vipi??
Sureboy bado mzito pale katikati
 
Tatizo mtoa mada kuna wakati huwa analeta mada za mihemko. Ni muda pekee ndiyo utakaosema ukweli.
 
Unasema hamkuwa mnasaka ushindi, mbona baada ya goli la Baleke mlienda kumnyang'anya mpira kipa mkakimbiza kati ili mpira uanze haraka?

Kwanza hii tabia ya kukimbiza mpira kati eti kuokoa muda sijawahi kuielewa ila hilo tuliache kwa leo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…