Mtanzanias
JF-Expert Member
- Jul 30, 2021
- 1,747
- 3,725
Picha kamili tumeiona leo kwenye mechi dhidi ya kaizer chiefs, licha ya muda wa maandalizi kuwa mfupi na wachezaji wengine kuchelewa kuingia kambini bado wameonyesha ni timu imara na ya moto.
Mpira wa kasi ni falsafa ya kocha gamondi na ameonyesha mwanga ni nini anachotaka kwenye squad yake, sajiri zote zilizoingia zinaonekana ziko vizuri ni suala la muda tu kufanya makubwa zaidi.
Naiona yanga ikifanya vizuri zaidi klabu bingwa barani afrika msimu huu, Nawapongeza waliofanya usajiri wameifanya kazi yao ipasavyo na itawalipa soon!