Yanga bado ni wa moto, wanakwenda kuanzia walipoishia msimu uliopita

Yanga bado ni wa moto, wanakwenda kuanzia walipoishia msimu uliopita

Afadhali mjiliwaze tu hata mkilia haisaidii mmeshakosea tayari
 
PAMOJA NA SIMBA KUWA NA MSHABILIAJI BUTU KAMA MUGALU.

SIMBA ILIWAPIGA WALE KAIZA 3- 0

UTOPOLO MSITEGEMEE
Hamna timu pale
 
Tuliwapiga 3 bila baada ya wachezaji wao muhimu kuwasingizia wana Covid 19.
Vikosi vyilivyoanza vya Kaizer Chiefs katika mechi mbili vyote vinafanana kasoro mchezaji mmoja tu.

Screen Shot 2023-07-23 at 5.49.32 PM.png

Screen Shot 2023-07-23 at 5.50.04 PM.png
 
Me nmewaona yanga n kama man city watupu yaan
We jamaa unajua boli!

Hii Yanga Ina sifa sasa, ukitoa moto unaweka moto zaidi shida ya kugombania namba inaenda kutokea Utopoloni.
Huyu Eng Hersi mtu m-bad sana anataka Yanga ibebe World cup!
 
Hatu a mpiga magoli mayele atabaki kuwa was pekee kwa karne nnxima
 
Jidanganye tu,mwaka huu hakuna kombe la losers mjue!??ohoo
 
MBUMBUMBU wanadhani walikosa ubingwa miaka miwili kwa sababu chama alikosa takataka mwenzake nikwisoni...pumbavu
 
Back
Top Bottom