Yanga bado ni wa moto, wanakwenda kuanzia walipoishia msimu uliopita

Kwa maana ligi ya south africa unaiweka kwenye standard sawa na ligi ya bongo? Ukapimwe akili wewe sio bure
Soma kwanza kwa utulivu ili uelewe maana. Nimemjibu huyo aliyeidharau Yanga kucheza na timu inayoshika nafasi ya 5 na wakati kasahau huyo Yanga ndio bingwa wake hapa Tanzania je inadharau vipi bingwa wake?
 
Msijisifie kwa kucheze na team ambayo haikuwa na muunganiko wwte..viungo wakabaji wanapoteza Mpira kiurahisi kama wanacheza ndondo...kule kwa yule scudo ni kama alikuwa anacheza mwenyew tu due mbavu ya kulia ilikuwa inapanda na kumwacha acheze mwenyew kama anavyotaka...
Muunganiko upi unaousema wewe? Wanayo maingizo mapya pia na yanga inayo maingizo mapya ivyo kila timu aikuwa na muunganiko hoja yako imekufa kifo cha kawaida tafuta jingine
 
Msijisifie kwa kucheze na team ambayo haikuwa na muunganiko wwte..viungo wakabaji wanapoteza Mpira kiurahisi kama wanacheza ndondo...kule kwa yule scudo ni kama alikuwa anacheza mwenyew tu due mbavu ya kulia ilikuwa inapanda na kumwacha acheze mwenyew kama anavyotaka...
Tumewazoe naona mnaendeleza mlipoishia msimu uliopita. Timu zote zinazofungwa na Yanga ni mbovu
 
Kwa maana ligi ya south africa unaiweka kwenye standard sawa na ligi ya bongo? Ukapimwe akili wewe sio bure
1690053298129.png
 
Msijisifie kwa kucheze na team ambayo haikuwa na muunganiko wwte..viungo wakabaji wanapoteza Mpira kiurahisi kama wanacheza ndondo...kule kwa yule scudo ni kama alikuwa anacheza mwenyew tu due mbavu ya kulia ilikuwa inapanda na kumwacha acheze mwenyew kama anavyotaka...
Muunganiko upi unaousema wewe? Wanayo maingizo mapya pia na yanga inayo maingizo mapya ivyo kila timu aikuwa na muunganiko hoja yako imekufa kifo cha kawaida tafuta
Sasa mnacheza na mtu anashika mafasi ya Tano mnajisifuView attachment 2696416
Kipindi anakutungua goli 4 bila majibu unakumbuka alikuwa nafasi ya ngapi? Basi jaribu kuwa na heshima pia uwe na kumbukumbu usijizime data kiboya namna iyo
 
Picha kamili tumeiona leo kwenye mechi dhidi ya kaizer chiefs, licha ya muda wa maandalizi kuwa mfupi na wachezaji wengine kuchelewa kuingia kambini bado wameonyesha ni timu imara na ya moto,
Mpira wa kasi ni falsafa ya kocha gamondi na ameonyesha mwanga ni nini anachotaka kwenye squad yake, sajiri zote zilizoingia zinaonekana ziko vizuri ni suala la muda tu kufanya makubwa zaidi
Naiona yanga ikifanya vizuri zaidi klabu bingwa barani afrika msimu huu, Nawapongeza waliofanya usajiri wameifanya kazi yao ipasavyo na itawalipa soon!
Halina ubishi ni mwehu huu atakaye pinga hilo
 
Msijisifie kwa kucheze na team ambayo haikuwa na muunganiko wwte..viungo wakabaji wanapoteza Mpira kiurahisi kama wanacheza ndondo...kule kwa yule scudo ni kama alikuwa anacheza mwenyew tu due mbavu ya kulia ilikuwa inapanda na kumwacha acheze mwenyew kama anavyotaka...
Kwa Yanga hii jiandae kupata stroke.
 
Back
Top Bottom