Mtanzanias
JF-Expert Member
- Jul 30, 2021
- 1,747
- 3,725
Mzize bado mchanga tumpe muda mkuu.Kunahitajika tu mbadala wa Mayele, tena ikibidi wasajiliwe mastraika wawili hata kama mmoja atakuwa wa ndani. Huyu Mzize huwa ananitibuaga sana anayofanya uwanjani.
Hatari sana kaka.Uko sahihi kabisa, mimi ni kolo ila Yanga hii ya leo ikipata team chemistry vizuri, wanabeba ndoo ya 30 hawa [emoji23][emoji1544]
Mbadala wa mayele ashaingia mjini wala usiwaze uyo mzize atakuwa chaguo la 3 maana bado ana utoto mwingiKunahitajika tu mbadala wa Mayele, tena ikibidi wasajiliwe mastraika wawili hata kama mmoja atakuwa wa ndani. Huyu Mzize huwa ananitibuaga sana anayofanya uwanjani.
We kafie mbele uko kama ujaona basi utaonyeshwa kwa nguvuHamna timu nyie aisee. Sasa leo umeona nini pale?
Wenye timu yao wamelizika na walichokishuhudia uwanjani, wewe unakereka na kipi? Usingilie furaha za watu.Hamna timu nyie aisee. Sasa leo umeona nini pale?
Mzize hakuna mchezaji pale. Yanga inahitaji striker wa maana, nina hofu na pengo la Mayele.Kunahitajika tu mbadala wa Mayele, tena ikibidi wasajiliwe mastraika wawili hata kama mmoja atakuwa wa ndani. Huyu Mzize huwa ananitibuaga sana anayofanya uwanjani.
Unapoteza muda kumjibu kolo, tokea lini kolo akaona mazuri ya yanga wakati anakuwa kavaa miwani ya mbao!!!Wenye timu yao wamelizika na walichokishuhudia uwanjani, wewe unakereka na kipi? Usingilie furaha za watu.
Uwe unakuwa serious kidogo kwenye hoja za msingi.Hamna timu nyie aisee. Sasa leo umeona nini pale?
Washampata Emnanuel Mahop ni mcameroon mwenye balaa kama mayele, nadhani wiki hii atatambulishwa baada ya kumalizana na klabu yake ya canon youndeMzize hakuna mchezaji pale. Yanga inahitaji striker wa maana, nina hofu na pengo la Mayele.
Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Jiandaeni kisaikolojia. Hamna timuWenye timu yao wamelizika na walichokishuhudia uwanjani, wewe unakereka na kipi? Usingilie furaha za watu.