Yanga bado ni wa moto, wanakwenda kuanzia walipoishia msimu uliopita

Kwa maana ligi ya south africa unaiweka kwenye standard sawa na ligi ya bongo? Ukapimwe akili wewe sio bure
Soma kwanza kwa utulivu ili uelewe maana. Nimemjibu huyo aliyeidharau Yanga kucheza na timu inayoshika nafasi ya 5 na wakati kasahau huyo Yanga ndio bingwa wake hapa Tanzania je inadharau vipi bingwa wake?
 
Muunganiko upi unaousema wewe? Wanayo maingizo mapya pia na yanga inayo maingizo mapya ivyo kila timu aikuwa na muunganiko hoja yako imekufa kifo cha kawaida tafuta jingine
 
Tumewazoe naona mnaendeleza mlipoishia msimu uliopita. Timu zote zinazofungwa na Yanga ni mbovu
 
Muunganiko upi unaousema wewe? Wanayo maingizo mapya pia na yanga inayo maingizo mapya ivyo kila timu aikuwa na muunganiko hoja yako imekufa kifo cha kawaida tafuta
Sasa mnacheza na mtu anashika mafasi ya Tano mnajisifuView attachment 2696416
Kipindi anakutungua goli 4 bila majibu unakumbuka alikuwa nafasi ya ngapi? Basi jaribu kuwa na heshima pia uwe na kumbukumbu usijizime data kiboya namna iyo
 
Halina ubishi ni mwehu huu atakaye pinga hilo
 
Kwa Yanga hii jiandae kupata stroke.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…