Yanga bingwa 2023-2024:Yaifunga Mtibwa 3-1 | NBC Premier League | Manungu Stadium | 13.05.2024

Yanga bingwa 2023-2024:Yaifunga Mtibwa 3-1 | NBC Premier League | Manungu Stadium | 13.05.2024

View attachment 2989263
View attachment 2989260

Karibuni Kwa Live updates za mchezo wa Ligi kuu Tanzania bara kati ya Mtibwa Sugar (wenyeji) dhidi ya Mabingwa watetezi , Young Africans sc. Mchezo utaanza leo saa kumi jioni, Katika uwanja wa Namungu Complex, Morogoro.

Endapo Yanga atashinda mchezo huu atafikisha alama 71 ambayo haitaweza kufikiwa na club yoyote inayoshiriki Ligi Kuu, Hivyo Rasmi atatangaza ubingwa wake kwa mara ya tatu mfululizo (Champions in a row) na kutwaa ubingwa wa Ligi kuu Tanzania bara mara 30, Rekodi ambayo haijafikiwa na club yoyote hapa nchini.

Kwa upande wa pili, Mtibwa Sugar yupo katika hati ya kushuka daraja akiwa na alama 20 pekee na jumla ya michezo 26 akiwa nafasi ya mwisho kabisa katika msimamo wa Ligi.

Kikosi cha Yanga sc kinachoanza
View attachment 2989343

Kikosi cha Mtibwa Sugar fc kinachoanza
View attachment 2989346

Timu zinaingia uwanjani

00' Mpira unaanza
01' Yanga wanafanya shambulizi mpira unaenda nje
02' Mwanuke anaweka cross mpira unaenda nje
03' Kapama anawekwa chini ni freekick
04' Kapama anafanya jaribio Djigue diarra anaukamata
07' Yanga wanatawala mchezo Aziz ki anakosakosa. Ni kona
14' Lomalisa anamchezea Mwanuke faul
18' Charles Ilanfya anachezewa faul yupo chini mpira umesimama
22' Nzengeli anakosa goli, Kona
31' Aziz Ki anakosakosa goli hapa
32' Goooooal Mtibwa wanapata goli kupitia Charles Martin Ilanfya
36' Mudathir Yahya anakosa kosa goli hapa
37' Nasor kapama anachezewa faul na Sureboy
39' Aziz ki anapiga shuti kubwa linaenda nje
40' Musonda anakosa nafasi ya wazi
45' Zimeongezwa dakika 2

HT : Mtibwa Suga fc 1 - 0 Yanga sc

45' Kipindi cha pili kimeanza
45' Anatoka Djigue diarra anaingia Mshery
51' Max Nzengeli anakosa goli
59' Mwanuke anashika mpira ni faul
60' Anatoka Max Nzengeli anaingia Pacome
60'Anatoka Guede anaingia Mzinze
62' GOOOOOOOOOOOOAAAAAL KENNEDY MUSONDA
64' Mtibwa wanapata kona, anapiga mpira unaenda nje
66' GOOOOOOOOOOAL
DICKSON FODEN KIBABAGE
72'Yanga wanapata kona
73'Mtibwa wanakosa goli
73'Pacome Zouzoua anachezewa faul
80'Yanga wanapata kona anaenda kupiga Aziz ki
81' GOOOOOOOOOOOAL CLEMENT MZINZE DROGBA ANAWEKA NYAVU YA 3 BAADA YA ASSIST NZURI YA MWAMNYETO
83' Yao kouassi anachezewa faul
85' Anatoka Musonda anaingia Skudu Makudubela
86' Omary Marungu anajaribu kupiga shuti linaenda nje
90 +3' Mpira umemalizika

FT: Mtibwa Sugar fc 1 -3 Young Africans sc

Yanga inatwaa ubingwa mara 30 Ligi kuu NBC [emoji471][emoji471][emoji471]
View attachment 2989447
Tumshukuru Mola wetu kwa ushindi huu
 
Yanga inatwaa ubingwa mara 30 Ligi kuu NBC 🏆🏆🏆
View attachment 2989447
Asante Kaka.
Very nice Updates
 
𝐅𝐔𝐋𝐋 𝐓𝐈𝐌𝐄 𝐌𝐓𝐁 1 - 3 𝐘𝐍𝐆

𝐇𝐨𝐧𝐠𝐞𝐫𝐚 𝐭𝐢𝐦𝐮 𝐲𝐚𝐧𝐠𝐮 𝐲𝐚 𝐘𝐚𝐧𝐠𝐚 𝐤𝐰𝐚 𝐮𝐛𝐢𝐧𝐠𝐰𝐚 𝐰𝐚 𝐭𝐚𝐭𝐮 𝐦𝐟𝐮𝐥𝐮𝐥𝐢𝐳𝐨, 𝐬𝐢𝐤𝐮 𝐲𝐚 𝐣𝐮𝐦𝐚𝐭𝐚𝐭𝐮 𝐧𝐚 𝐆𝐨𝐥𝐢 3
 
Mi naishauri serikali iwachukuwe makolo wote watumbukizwe baharini wakatafute waya wa internet uliopotea , wananchi tuendelee ku enjoy 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
🏆🏆🏆🏆🏆🏆🏆🏆🏆🏆🏆🏆🏆🏆🏆
🏆🏆🏆🏆🏆🏆🏆🏆🏆🏆🏆🏆🏆🏆🏆
 
Mi naishauri serikali iwachukuwe makolo wote watumbukizwe baharini wakatafute waya wa internet uliopotea , wananchi tuendelee ku enjoy [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471]
[emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471]
Ikibidi wabaki hukohuko waanzishe ligi Yao na Samaki [emoji2957][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
pamoja na yanga Bingwa
Al haj juma mgunda amesema jana bado ana matumaini na simba kuchukua ubingwa aisee hii n kulogwa
 
Mpaka hapa Mtani vipi una lolote? 😅
Screenshot_20240514_065554_Instagram.jpg
 
Back
Top Bottom