Yanga bingwa 2023-2024:Yaifunga Mtibwa 3-1 | NBC Premier League | Manungu Stadium | 13.05.2024

Yanga bingwa 2023-2024:Yaifunga Mtibwa 3-1 | NBC Premier League | Manungu Stadium | 13.05.2024

Madai yake yupo bize
Hahahaaa. Lol.

Ndo kama hivi yaani Mtani.👇👇👇
Screenshot_20240514_065754_Instagram.jpg
 
Nendeni migahawani mkanywe chai kwa bill ya hilo kombe

Simba iliongoza kipindi cha Jiwe coz Bashite alimzingua sana Manji hivyo Yanga wakawa hawana mpunga ,mpira ni uwekezaji ,mwambieni MO amwage mpunga kwenye usajili ili msimu ujao kuwe na competion kali siyo Yanga tu iwe kileleni kuanzia mwanzo mpaka mwisho ,kuwe na shuka panda shuka panda.
 
Raha ya ushindi
 

Attachments

  • Screenshot_20240422_111319_Instagram.jpg
    Screenshot_20240422_111319_Instagram.jpg
    92 KB · Views: 4
Simba iliongoza kipindi cha Jiwe coz Bashite alimzingua sana Manji hivyo Yanga wakawa hawana mpunga ,mpira ni uwekezaji ,mwambieni MO amwage mpunga kwenye usajili ili msimu ujao kuwe na competion kali siyo Yanga tu iwe kileleni kuanzia mwanzo mpaka mwisho ,kuwe na shuka panda shuka panda.
Tupo imara 🦁 tulishakua mabingwa 4times mfululu subirini ligi ianze 24/25
 
... 🚨 𝗥𝗘𝗞𝗢𝗗𝗜 𝗭𝗔 𝗬𝗔𝗡𝗚𝗔 23 | 24

✨ Yanga SC imeandika rekodi ya kutwaa Ubingwa ikiwa imeshinda dhidi ya timu zote za ligi kuu tangu mfumo wa timu (16) uanzishwe Tanzania bara.

Timu zilizoichangia points nyingi Yanga SC katika Ubingwa wao wa (30).

1 🅿️ 6 - Simba Sports Club.
2 🅿️ 6 - Coastal Union.
3 🅿️ 6 - KMC Football Club.
4 🅿️ 6 - Namungo FC
5 🅿️ 6 - Singida Fountain Gate.
6 🅿️ 6 - Mashujaa FC
7 🅿️ 6 - Geita gold Football Club.
8 🅿️ 6 - Mtibwa sugar.

Timu zingine zote zilizobaki ligi kuu zimeichangia Yanga Points (3) kila moja. Bado timu (3) hazijacheza na Yanga zikifungwa zitaongezeka kwenye list ya timu zilizoichangia Yanga points (6) hapo juu.

◉ Dodoma Jiji - (A)
◉ Tabora United - (H)
◉ Tanzania Prisons - (H)

✨ Tangu mfumo wa timu (16) ligi kuu uanze Yanga SC wametwaa Ubingwa wakiwa wameiacha points nyingi zaidi (11) timu inayowafuata kwenye msimamo.

Yanga anaisaka rekodi ya points (80), akishinda mechi zake (3) zilizobaki atakuwa na points nyingi zaidi kwa msimu (1) tangu mfumo wa timu (16) uanzishwe.

✨ Yanga imekuwa timu ya kwanza ligi kuu kushinda mabao (5) katika kila mechi kwenye michezo (4) ndani ya msimu 1.

◉ 5 - 1 Simba Sports Club.
◉ 5 - 0 KMC Football Club
◉ 5 - 0 JKT Tanzania.
◉ 5 - 0 Ihefu Football Club.

✨ Yanga imetwaa Ubingwa wa (30) wa ligi kuu mara nyingi kuliko timu zote katika ukandq wa Afrika mashariki.

Timu zenye makombe mengi zaidi ya ligi kuu Barani Afrika mpaka sasa :

01. 🏆 43 - 🇪🇬 Al Ahly Cairo.
02. 🏆 32 - 🇹🇳 Esperance.
03. 🏆 30 - 🇹🇿 Young Africans SC.
......🏆 30 - 🇪🇹 Saint George.
......🏆 30 - 🇨🇮 ASEC Mimosas
04. 🏆 29 - 🇸🇩 Al Hilal Omdurman
05. 🏆 25 - 🇬🇭 Asante Kotoko
06. 🏆 24 - 🇿🇼 Dynamos
07. 🏆 23 - 🇸🇩 Al Merreikh
08. 🏆 23 - 🇲🇱 Djoliba FC
09. 🏆 22 - 🇹🇿 Simba sports club
10. 🏆 21 - 🇲🇦 Wydad Casablanca

YANGA BINGWA 💛💚 #30

Credit Tom cruz
 
Back
Top Bottom