YANGA Bingwa: Fainali ya kombe la Shirikisho Tanzania, 25.05.2016

Hili ndio tatizo la yanga
 
Huyu kijana huko alienda kupoteza kipaji chake. Hivi hata taifa stars kaitwa??
Kipaji Vila hela kinasaidia nini? Ndio Yale Yale ya ramadhani singano, eti leo simba wanamsema kwa kuhama timu wakati walikuwa wanamlipa kidogo, nyie washabiki mnasikia raha tu mtu anapofanya vizuri uwanjani, waacheni watu wapiganie maisha yao ya sasa na baadae
 
Huwa kuna mafundi wawili wananisikitisha sana ninapowaona wapo benchi frank domayo "chumvi" na didier Kavumbagu to be honest roho inaniuma sana.
 
Hawa watangazaji wa Azam TV wanatia kinyaa...

Full kuisifia Azam na wachezaji wake...Hivyo kabisa
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] jangwaaaaaaaaan km kawa wakimataifaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Pesa kinaendana Na kipaji pia. Tunazungumzia kesi ya Domayo, nakumbuka yanga walivyombembeleza Na dau wakapanda lakini akaondoka.!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…