Katavi
Platinum Member
- Aug 31, 2009
- 42,023
- 12,811
Hili ndio tatizo la yangaTatizo la yanga mara zote wanapocheza na azam wanaanza vizuri lakini wakishapata goli wanaanza kujihami kujiangusha na kupoteza muda mpaka goli linarudi ndio wanahaha kutafuta lingine wakati muda umeisha na kutengeneza droo ya kizembe.
Mara zote tunapotoka sare na Azam uwa wanachomoa wao tena kizembe sana.