Yanga bingwa tena, hoja ya GSM kadhamini timu nyingi imezimwa na wamisri.

Na derby ilikuwa kama kusema "tufanye yanga hana point na Simba hana point ila Kuna kombe uwanjani tuligombee"
Simba kapigwa peupe
Simba na tffff walitaka kupora kombe msimu huu Kisha wasifie ujinga wao wa ubaya ubwela
Miloud ni kocha sana
Jamaa anajua kubalance na sub zake zote zina akili sana
Yanga wanaweza kukosea kama wataachana na Miloud
 
Wapi nimesema real madrid ni kama simba au hilo bichwa lako ni sanduku tu la kuhifadhia meno, waambieni hao wachambuzi wenu wanaosema eti kwa sasa derby kati ya simba na yanga haina ushindani kisa imefungwa mara tano mfululizo, real madrid kafungwa na barcelona mara tano mfululizo ila hakuna anayesema kwamba derby ya el clasico haina ushindani tena na huo ni mfano halisi kabisa

Unajua hapo ndipo mnaponishangaza uto mnasema ninyi ni bora kuliko simba wakati takwimu za kimataifa zinawakataa, sasa mkiambiwa mnakimbilia kusema simba ana kombe gani kimataifa kana kwamba yanga ndio analo, sawa wote hawana makombe na wote wana medali za caf ila kwenye rank za vilabu bora africa simba ya nne yanga ya kumi na moja haya tuambie yanga kamzidi nini simba hapo

Usisahau na kauli ya aliyekuwa kocha wenu luc eymael

Sawa ninyi mna kombe gani huko kimataifa

Sawa na yanga kafanya kipi ambacho simba hajawahi kufanya huko kimataifa hadi mseme timu iliyoko nafasi ya kumi na moja ndio bora kuliko iliyoko nafasi ya nne kwenye caf rank
Simba kelele tu, hamna kombe hata Kimataifa huko, kelele nyingi tu hovyoo.
 
Kwani huko Kimataifa Simba kafanya kipi ambacho Yanga hakuwahi kufanya?
Tuseme ukweli, Simba bado wana watu ambao wanaamini uchawi kwenye mpira, pili, Simba kuna watu wanaamini kuwa Yanga hawana uwezo bali wanatumia ujanjaujanja kwa timu wanazocheza nazo. Yanga ikiifunga Simba watasingizia wachezaji wao na waamuzi kuhongwa.

Kama Simba hawatoka huko, wataendelea kukumbatia viongozi kama hawa, Yanga itaifunga simba mara 12 mfululizo.
 
Wapi nimesema real madrid ni kama simba au hilo bichwa lako ni sanduku tu la kuhifadhia meno, waambieni hao wachambuzi wenu wanaosema eti kwa sasa derby kati ya simba na yanga haina ushindani kisa imefungwa mara tano mfululizo, real madrid kafungwa na barcelona mara tano mfululizo ila hakuna anayesema kwamba derby ya el clasico haina ushindani tena na huo ni mfano halisi kabisa

Unajua hapo ndipo mnaponishangaza uto mnasema ninyi ni bora kuliko simba wakati takwimu za kimataifa zinawakataa, sasa mkiambiwa mnakimbilia kusema simba ana kombe gani kimataifa kana kwamba yanga ndio analo, sawa wote hawana makombe na wote wana medali za caf ila kwenye rank za vilabu bora africa simba ya nne yanga ya kumi na moja haya tuambie yanga kamzidi nini simba hapo

Usisahau na kauli ya aliyekuwa kocha wenu luc eymael

Sawa ninyi mna kombe gani huko kimataifa

Sawa na yanga kafanya kipi ambacho simba hajawahi kufanya huko kimataifa hadi mseme timu iliyoko nafasi ya kumi na moja ndio bora kuliko iliyoko nafasi ya nne kwenye caf rank
Kwa hiyo, Simba kabaki na kichaka cha rank za CAF ambacho mwakani kinaweza kufyekwa.
 
Mi nashangaa watu wanachoona ajabu kwenye matokeo kama haya ni nini huo ndio mpira, real madrid msimu huu kafungwa mara tano mfululizo na barcelona na kamaliza bila kombe lolote ila hakuna anayewatukana labda wale wasiojua mpira, anyway hongereni kwa kusajili wachezaji wazuri wa kuwafunga simba jitahidini huko kimataifa muweke malengo msiwe mnaishia hatua za awali ili mpande rank
Kumbe hauna akili!!Barcelona kamfunga Madrid mechi zote ni msimu huu,tofauti makolo wamefungwa karibu misimu mitatu mfululizo!
Hoja ya Madrid kufungwa inaweza kueleweka hakuwa bora ndani ya msimu huu ndo mpka Arseno kajipigia.Ila makolo kila msimu anafungwa yeye tu.
 
Kwa hiyo, Simba kabaki na kichaka cha rank za CAF ambacho mwakani kinaweza kufyekwa.
kuna wakati watu watahoji hiyo rank ya CAF anaipataje kama ndani ya ligi ni kibonde. Na hii ndiyo inayozipa hofu timu za nje zinazopangiwa kucheza na Simba hadi zije na mapipa, maji na majiko yao ya mkaa kuja kujipikia wenyewe.
 
Na ile kauli ya Uchebe,kuwa viongozi wenu hawajaelimika vipi haikisi lolote?
Uchebe ni nani
ulienda lini Spain kujua mashabiki wa barcelona wanasema nini kuhusu timu yao dhidi ya madrid?
Si unaona sasa akili zenu ,kwahiyo katika zama hizi ni lazima uwepo kwenye nchi husika ili kujua yanayoendelea huko, halafu aliyekuambia kwamba mashabiki wa hizo timu wako spain tu ni nani
Simba kelele tu, hamna kombe hata Kimataifa huko, kelele nyingi tu hovyoo.
Sasa nyinyi mbona mnatupigia kelele na hamna kombe lolote kimataifa huko
Kwa hiyo, Simba kabaki na kichaka cha rank za CAF ambacho mwakani kinaweza kufyekwa.
Oohh kumbe kinaweza tu ila bado hakijafyekwa hata msimu huu mlikuja na mbwembwe nyingi za kutaka kufyeka hiko kichaka ila ghafla fyekeo likageuka butu, simba wamefyeka kichaka chenu cha medali za caf ninyi mmeishia kufyeka kichaka chao cha ubingwa misimu minne mfululizo, halafu mkiambiwa huko kimataifa hamna chochote cha kuwazidi simba mnaanza kulialia
Kumbe hauna akili!!Barcelona kamfunga Madrid mechi zote ni msimu huu,tofauti makolo wamefungwa karibu misimu mitatu mfululizo!
Hoja ya Madrid kufungwa inaweza kueleweka hakuwa bora ndani ya msimu huu ndo mpka Arseno kajipigia.Ila makolo kila msimu anafungwa yeye tu.
Kwahivyo kuwafunga simba misimu miwili tu ndio tayari mshajiona wakubwa kuliko wao kiasi cha kusema eti derby ya kariakoo haina ushindani tena, tena msimu uliopita hamkuwafunga mechi zote maana ngao ya jamii walichukua wao kwa kuwatoa nyie mwanzo wa msimu, kwa timu kubwa kama madrid kumaliza hata msimu mmoja tu bila taji lolote huku wana wachezaji kama mbappe na bellingham siyo jambo la kueleweka ndio maana carlo ancelotti kafungashiwa virago
 
Uchebe ni nani

Si unaona sasa akili zenu ,kwahiyo katika zama hizi ni lazima uwepo kwenye nchi husika ili kujua yanayoendelea huko, halafu aliyekuambia kwamba mashabiki wa hizo timu wako spain tu ni nani

Sasa nyinyi mbona mnatupigia kelele na hamna kombe lolote kimataifa huko

Oohh kumbe kinaweza tu ila bado hakijafyekwa hata msimu huu mlikuja na mbwembwe nyingi za kutaka kufyeka hiko kichaka ila ghafla fyekeo likageuka butu, simba wamefyeka kichaka chenu cha medali za caf ninyi mmeishia kufyeka kichaka chao cha ubingwa misimu minne mfululizo, halafu mkiambiwa huko kimataifa hamna chochote cha kuwazidi simba mnaanza kulialia

Kwahivyo kuwafunga simba misimu miwili tu ndio tayari mshajiona wakubwa kuliko wao kiasi cha kusema eti derby ya kariakoo haina ushindani tena, tena msimu uliopita hamkuwafunga mechi zote maana ngao ya jamii walichukua wao kwa kuwatoa nyie mwanzo wa msimu, kwa timu kubwa kama madrid kumaliza hata msimu mmoja tu bila taji lolote huku wana wachezaji kama mbappe na bellingham siyo jambo la kueleweka ndio maana carlo ancelotti kafungashiwa virago
Fadlu alikuwa kocha msaidizi alikotoka Simba wakamfanya kuwa koca mkuu, Yanga haiwezi kufanya hivyo.
 
Hawawezi kufanya hivyo ila wamefika wapi msimu huu kimataifa na simba waliofanya hivyo wamefika wapi, kama hamdi ni kocha mzuri mbona nasikia msimu ujao mnamuondoa, ilihali hamjatafuta replacement ya uhakika hadi sasa
 
Bro usifananishe usingizi na kifo. Caf champions na confederation ni mbingu na ardhi. Hebu ona Simba kacheza finali ya caf confederation lakini kaja kukandwa na Singida black stars na Yanga. Hii ni kuonyesha kuwa timu zinazoshiriki caf confederation ni dhaifu sana kama sio ungaunga mwana.
 
Duuh kwahiyo yanga na singida ni bora kuliko berkane na zamalek, mbona ninyi mlifungwa na azam na tabora kwahiyo na ninyi ni dhaifu, huko caf champions simba na ubovu wake haijawahi kuishia makundi, ila ninyi na ubora wenu hamjawahi kufika hata nusu fainali, kweli kuwa shabiki wa uto ni ugonjwa wa akili aise
 
We ndio huna akili unaubishi wa kizamani usijifanye unauchungu sana na simba kama mo anaetoa pesa simba inabidi isajili wachezaji wa kueleweka sio kuokotaokota wachezaji mwisho wa siku wanadharika dabi 5 hata sare hamna
 
Nyie wenye wachezaji wazuri cha ajabu mmeridhika kuishia makundi yani ubora wenu mnaupima kwenye kumfunga simba tu, madrid imepoteza el clasico tano mfululizo ikiwa na wachezaji kama mbappe na bellingham sasa sijui wachezaji wa kueleweka kwako unawapimaje, simba inatakiwa isajili kwa malengo ya kuchukua makombe ya africa siyo kumfunga yanga ninyi hata mgewafunga mara mia mfululizo siku wakichukua kombe lolote la africa wao ndio watakuwa bora zaidi yenu
 
Back
Top Bottom