Yanga bingwa tena, hoja ya GSM kadhamini timu nyingi imezimwa na wamisri.

Nyie wenye wachezaji wazuri cha ajabu mmeridhika kuishia makundi yani ubora wenu mnaupima kwenye kumfunga simba tu, madrid imepoteza el clasico tano mfululizo ikiwa na wachezaji kama mbappe na bellingham sasa sijui wachezaji wa kueleweka kwako unawapimaje, simba inatakiwa isajili kwa malengo ya kuchukua makombe ya africa siyo kumfunga yanga ninyi hata mgewafunga mara mia mfululizo siku wakichukua kombe lolote la africa wao ndio watakuwa bora zaidi yenu
Kama unashindwa kuifunga yanga utachukua vipi makombe wakati katika hayo makombe unayotaka kuyachukua yanga anashiriki unataka nani akusaidie kuwafunga yanga tumia akili usijifanye mo kwamba simba inakuuma sana Kila kitu utetee
 
We ndio huna akili unaubishi wa kizamani usijifanye unauchungu sana na simba kama mo anaetoa pesa simba inabidi isajili wachezaji wa kueleweka sio kuokotaokota wachezaji mwisho wa siku wanadharika dabi 5 hata sare hamna
Hivi ndivyo walivyo viongozi na mashabiki wa Simba, wanakuja na sababu za kuoketeza na kujipa na kuja na majibu tofauti kabisa ya maswali yao. Kwanza hawaamini kuwa Yanga Ina wachezaji, uongozi na mdhamini quality kuliko Simba. Badala yake wanakuja na cheap arguments za GSM kudhamini timu 8. Bila udhamini wa gsm ligi ingekuwa nyepesi sana, timu zingeshindwa kujiendesha na kutoa ushindani. Kama kweli hii sababu yao ni ya msingi kwanini mo asidhamini zile timu 8 nyingine ambazo hazikudhaminiwa na GSM?
 
Kama unashindwa kuifunga yanga utachukua vipi makombe wakati katika hayo makombe unayotaka kuyachukua yanga anashiriki unataka nani akusaidie kuwafunga yanga tumia akili usijifanye mo kwamba simba inakuuma sana Kila kitu utetee
Si unaona sasa akili zenu kwahiyo kuchukua ubingwa ni hadi umfunge mpinzani wako kwani hiyo ligi ina timu mbili tu, kwani mara ngapi ninyi mmeshachuku ubingwa bila kuwafunga simba au unajitoa ufahamu, ndio maana tunasema ninyi mafanikio yenu ni kuwafunga simba tu huko kimataifa hata mkiishia hatua za awali hamuoni shida, halafu wewe ni nani hadi uwapangie watu kiwango cha furaha au huzuni wanachotakiwa kuwa nacho juu ya timu zao, anza kuwaambia mashabiki wa yanga kuwa hawatakiwi kufurahi kuliko gsm na hersi maana wao ndio viongozi
 
Nimegundua kichwani kwako kumejaa mavi na mwisho simba sio timu Yako ni Mali ya ccm na gsm sio kiongozi wa yanga sikujibu tena
 
Simba na Yanga zote hajiwahi kuleta kombe la CAF hapa kwetu. Safari yetu bado ni ndefu. Ila kibongobongo Yanga Iko vizuri asikwambie ntu
 
Siku nyingine usikurupuke kujibu mada kama huna hoja badala yake unaishia kuleta matusi tu, bila gsm hiyo yanga ingekuwa wapi na unadhani hilo timu lako ndio siyo mali ya ccm, kwahiyo kuwa shabiki wa timu ni lazima uwe kiongozi au mdhamini we guluguja nini
 
Kibongobongo ndio nini we naye wenzetu wanapolinganisha timu wanalinganisha performance ya ndani na kimataifa, yanga siyo timu bora ni timu ya wakamiaji tu ndio maana kimataifa wanabondwa hadi na vitimu vidogo, ila eti huku ndani wanajifanya kuwakamia simba ili waonekane bora kumbe viongozi wao wanatumia mbinu chafu za nje ya uwanja
 
Siku nyingine usikurupuke kujibu mada kama huna hoja badala yake unaishia kuleta matusi tu, bila gsm hiyo yanga ingekuwa wapi na unadhani hilo timu lako ndio siyo mali ya ccm, kwahiyo kuwa shabiki wa timu ni lazima uwe kiongozi au mdhamini we guluguja nini
Simba na Yanga zote Zina uhusiano mkubwa na TANU. Kuna viongozi wa TANU walilazimika kujigawa kimkakati kati ya Simba na Yanga. Mfano, inasemekana kuwa Nyerere alilazimika kuwa Yanga na Kawawa kulazimika kuwa Simba. Tangu wakati huo Simba na Yanga hazijawahi kuiponyoka TANU/CCM na serikali.
 
Back
Top Bottom