Yanga bingwa tena, hoja ya GSM kadhamini timu nyingi imezimwa na wamisri.

Yanga wanaweza kukosea kama wataachana na Miloud
 
Simba kelele tu, hamna kombe hata Kimataifa huko, kelele nyingi tu hovyoo.
 
Kwani huko Kimataifa Simba kafanya kipi ambacho Yanga hakuwahi kufanya?
Tuseme ukweli, Simba bado wana watu ambao wanaamini uchawi kwenye mpira, pili, Simba kuna watu wanaamini kuwa Yanga hawana uwezo bali wanatumia ujanjaujanja kwa timu wanazocheza nazo. Yanga ikiifunga Simba watasingizia wachezaji wao na waamuzi kuhongwa.

Kama Simba hawatoka huko, wataendelea kukumbatia viongozi kama hawa, Yanga itaifunga simba mara 12 mfululizo.
 
Kwa hiyo, Simba kabaki na kichaka cha rank za CAF ambacho mwakani kinaweza kufyekwa.
 
Kumbe hauna akili!!Barcelona kamfunga Madrid mechi zote ni msimu huu,tofauti makolo wamefungwa karibu misimu mitatu mfululizo!
Hoja ya Madrid kufungwa inaweza kueleweka hakuwa bora ndani ya msimu huu ndo mpka Arseno kajipigia.Ila makolo kila msimu anafungwa yeye tu.
 
Kwa hiyo, Simba kabaki na kichaka cha rank za CAF ambacho mwakani kinaweza kufyekwa.
kuna wakati watu watahoji hiyo rank ya CAF anaipataje kama ndani ya ligi ni kibonde. Na hii ndiyo inayozipa hofu timu za nje zinazopangiwa kucheza na Simba hadi zije na mapipa, maji na majiko yao ya mkaa kuja kujipikia wenyewe.
 
Na ile kauli ya Uchebe,kuwa viongozi wenu hawajaelimika vipi haikisi lolote?
Uchebe ni nani
ulienda lini Spain kujua mashabiki wa barcelona wanasema nini kuhusu timu yao dhidi ya madrid?
Si unaona sasa akili zenu ,kwahiyo katika zama hizi ni lazima uwepo kwenye nchi husika ili kujua yanayoendelea huko, halafu aliyekuambia kwamba mashabiki wa hizo timu wako spain tu ni nani
Simba kelele tu, hamna kombe hata Kimataifa huko, kelele nyingi tu hovyoo.
Sasa nyinyi mbona mnatupigia kelele na hamna kombe lolote kimataifa huko
Kwa hiyo, Simba kabaki na kichaka cha rank za CAF ambacho mwakani kinaweza kufyekwa.
Oohh kumbe kinaweza tu ila bado hakijafyekwa hata msimu huu mlikuja na mbwembwe nyingi za kutaka kufyeka hiko kichaka ila ghafla fyekeo likageuka butu, simba wamefyeka kichaka chenu cha medali za caf ninyi mmeishia kufyeka kichaka chao cha ubingwa misimu minne mfululizo, halafu mkiambiwa huko kimataifa hamna chochote cha kuwazidi simba mnaanza kulialia
Kwahivyo kuwafunga simba misimu miwili tu ndio tayari mshajiona wakubwa kuliko wao kiasi cha kusema eti derby ya kariakoo haina ushindani tena, tena msimu uliopita hamkuwafunga mechi zote maana ngao ya jamii walichukua wao kwa kuwatoa nyie mwanzo wa msimu, kwa timu kubwa kama madrid kumaliza hata msimu mmoja tu bila taji lolote huku wana wachezaji kama mbappe na bellingham siyo jambo la kueleweka ndio maana carlo ancelotti kafungashiwa virago
 
Fadlu alikuwa kocha msaidizi alikotoka Simba wakamfanya kuwa koca mkuu, Yanga haiwezi kufanya hivyo.
 
Fadlu alikuwa kocha msaidizi alikotoka Simba wakamfanya kuwa koca mkuu, Yanga haiwezi kufanya hivyo.
Hawawezi kufanya hivyo ila wamefika wapi msimu huu kimataifa na simba waliofanya hivyo wamefika wapi, kama hamdi ni kocha mzuri mbona nasikia msimu ujao mnamuondoa, ilihali hamjatafuta replacement ya uhakika hadi sasa
 
Bro usifananishe usingizi na kifo. Caf champions na confederation ni mbingu na ardhi. Hebu ona Simba kacheza finali ya caf confederation lakini kaja kukandwa na Singida black stars na Yanga. Hii ni kuonyesha kuwa timu zinazoshiriki caf confederation ni dhaifu sana kama sio ungaunga mwana.
 
Duuh kwahiyo yanga na singida ni bora kuliko berkane na zamalek, mbona ninyi mlifungwa na azam na tabora kwahiyo na ninyi ni dhaifu, huko caf champions simba na ubovu wake haijawahi kuishia makundi, ila ninyi na ubora wenu hamjawahi kufika hata nusu fainali, kweli kuwa shabiki wa uto ni ugonjwa wa akili aise
 
We ndio huna akili unaubishi wa kizamani usijifanye unauchungu sana na simba kama mo anaetoa pesa simba inabidi isajili wachezaji wa kueleweka sio kuokotaokota wachezaji mwisho wa siku wanadharika dabi 5 hata sare hamna
 
Nyie wenye wachezaji wazuri cha ajabu mmeridhika kuishia makundi yani ubora wenu mnaupima kwenye kumfunga simba tu, madrid imepoteza el clasico tano mfululizo ikiwa na wachezaji kama mbappe na bellingham sasa sijui wachezaji wa kueleweka kwako unawapimaje, simba inatakiwa isajili kwa malengo ya kuchukua makombe ya africa siyo kumfunga yanga ninyi hata mgewafunga mara mia mfululizo siku wakichukua kombe lolote la africa wao ndio watakuwa bora zaidi yenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…