njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
shida hapo ni micky jr au shida ni red arrows?Aise watu mbona mnaidharirisha JF jamani. Yaani huyo mtu unaweza kabisa kumchukulia Kama chanzo chako cha habari kweli na ukakiweka humu kweli kabisa. Daaa.
Shida ni mtoa taarifashida hapo ni micky jr au shida ni red arrows?
okay kwa hiyo red arrows siyo shida uko excited lakini na ujio wa mabingwa wa zambia?Shida ni chanzo Cha taarifa bosw
watu weweeeeeeeeeee😀😀😀😀😀😀😀 karibuni sana red arrowsHuitaji akili kubwa kujui undezi wa huyo jamaa. Ni miongoni mwa watu wanaoongoza kupost upuuzi mwingi humu jamvini. Sijui Huwa wanalipwa kufanya haya
huitaki red arrows mkuu? ongea na senzo sasa awalete mamelodi sundowns, kwani hizi mechi za kirafiki zina maana sana? hata msimu uliopita hamkupata nyingi na mkachukua ubingwaMtoa mada unaweweseka sana na Yanga. Masaa 24 unaiwaza Yanga. Hebu jitafakari Kwa maana umekuwa kama kituko humu jamvini
Shida ni mtoa taarifa
mbona mna hasira hivi nimetoka kuitwa muongo in a span of 10 seconds to this? kwani mlitarajia team gani wajameni ije?Sasa Red arrows imekuwa timu kubwa lini?
Acheni upumbavu wa kutujazia server
haya mkuu.....ila tarehe 6 usikose kwenda kuwashuhudia red arrowsBro acha kuwa Nde--zi basi, huyo mtu ni wale wanaoandika chochote ili mradi tu apate comment, views na likes, she is, sorry, he is not a credible source. Elewa basi.
umeona walivyonishukia kwa hasira eti naleta habari za uongo kwamba watacheza na red arrows yanga day nimeweka na post ya red arrows wenyewe jamaa wamekimbia uzi..kwani walikuwa wanatarajia mamelodi waje?Kama Klabu Bingwa Afrika hawafahamiki unategemea wacheze vipi na anayejielewa?
Hao bado wanatakiwa kujitangaza sana kimataifa, usiwasikilize na zile propaganda zao za "mabingwa wa kihistoria"
Kweli kabisa ndiyo maana nasema simba hii mipango ya ki uweledi wajifunze kwa yanga, senzo ni geniusHakuna timu yoyote kubw utacheza nayo friend match kama uja omba zaid ya miez sita mbaka mwaka.
Simba wameenda Misri lakini
nina uhakika hakuna timu yoyote kubwa wataweza kucheza nayo, labda timu za under 20 zilizo changanyika na wachezaji wa sinior timu waliokua majeruhi.
Yanga ata wakicheza na Mtibwa, kinachotafutwa ni game fitness si matokeo.
Acha kujifariji Ismailia ni timu ndogo au unataka kuifananisha na red arrows, hapo ni mazoezi tu subiri Simba day inakuja timu ya maana sio nyie mnatuletea moro fc ya zambiaHakuna timu yoyote kubw utacheza nayo friend match kama uja omba zaid ya miez sita mbaka mwaka.
Simba wameenda Misri lakini
nina uhakika hakuna timu yoyote kubwa wataweza kucheza nayo, labda timu za under 20 zilizo changanyika na wachezaji wa sinior timu waliokua majeruhi.
Yanga ata wakicheza na Mtibwa, kinachotafutwa ni game fitness si matokeo.
Simba haiwezi kucheza na Ismailia, labda under 20 ya Ismailia, Ila viongozi wenu wanajua nyie ni ma mbumbumbu.Acha kujifariji Ismailia ni timu ndogo au unataka kuifananisha na red arrows, hapo ni mazoezi tu subiri Simba day inakuja timu ya maana sio nyie mnatuletea moro fc ya zambia