njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
Watu wakiambiwa Senzo ni genius wanabana pua na kuanza kutikisa masikio, yanga ya sasa ni mooto wa kuotea mbali kiuongozi nje na ndani ya uwanja, wakati itakapokuwa imetoka katika kambi ya kisasa huko morogoro kijijini matombo tarehe 6 machampion wa nchi watapata mechi ya kujipima nguvu na mabingwa wa zambia yaani red arrows
Sasa kama wao wanaweza walete team yenye uwezo zaidi ya red arrows..case closed , mje mkifunze jinsi ya kuendesha team kwa Senzo, ona sasa mmeenda misri bure wakati hata kambi inaweza kuwekwa hapahapa nyumbani na mechi ngumu zikapatikana.