Yanga day kupambwa na Red Arrows ya Zambia, Dar itatikisika

uko sahihi sana simba wkajifunze uongozi kwa senzo jamaa ni genius sana
 
Red arrows wanakalibishwa Kuja kuwapa Yanga game time, nashauri uongozi wa Yanga utafute timu nyingine za apa nchini ata kombain ya under 20 kikubwa ni kupata game time Kwa wachezaji.
Watafute timu zinazo kamia Ili Kila mchezaji apate dk 500 kabla mechi ya ngao ya jamiii.
Kitaalamu kikosi Cha Yanga kikosawa kinachotakiwa ni kuweka miiliyao tayari kabla ya mashindano.
 



WATU WENGI HAWAELEWI MAANA YA MECHI ZA KIRAFIKI.


Mechi za kirafiki zinalenga kujipima kama kile ambacho unataka kukifanya msimu ujao kina mafanikio au laa.

Sio lazima sana iwe mechi dhidi ya timu kubwa. Msimu uliopita Yanga SC walicheza na nani mkubwa? Ni hawa hawa wakina Zanaco. Baadaye tena waliporudi kwenye Ligi tuliona nini kilitokea.

Spurs kacheza vs Sevilla jana.
Kwanini asiombe mechi na Barca au Madrd?

Leipzig kacheza vs Southampton jana.
Kwanini asiombe kucheza na City au Liverpool?

Westham kacheza vs Reading jana
Kwanini asiombe mechi na Dortmund?

Hertha Berlin vs Derby County
Kwanini asicheze na Bayern Munich?

Sassuolo vs Jablonec
Kwanini asicheze na Roma AS?
 
Kikosi kimefikisha thamani ya kiasi gani jumla?
 
kwa jinsi kikosi cha yanga kilivyo imara hata kikcheza na rangers ya magomeni au moro kids inatosha , ma mechi ya kirafiki mengi au kuweka kambi nje ya nchi ni ushamba sana wa kizamani
 
😆 😀 😀 😀 😀
 
Aise watu mbona mnaidharirisha JF jamani. Yaani huyo mtu unaweza kabisa kumchukulia Kama chanzo chako cha habari kweli na ukakiweka humu kweli kabisa. Daaa.
We subiri habari zotoke unakotaka, ila wenzako wapo away forward kuwa mechi itakuwa ni kati yenu na Red Allows. Ni kama ambavyo mliambiwa kuwa pre-season ya turkey imekufa mkabisha ila sasa mmeamini.



CONFIRMED.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We dogo punguza wivu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiyo Simba ata alicheza na hao u20 kinachotfutwa sio fitness?
Jamaa akili Zako Kama sio za mkopo sijui tu.
 
Kumbe red arrow wanaweza itikisa dar?
Mbona hamksemaga kipindi tunawafunga kwa mkapa Kama dar ilifaa kutikisika?
 
Mbona unajishtukizia au wale ni zaidi ya Al ahly waliokufa taifa kimoko.
 
Simba walikuja na sera Yao wanasajili/wanawapa kipaombele wachezaji wa ndani, Yanga wakasena Muddy kafilisika Hana uwezo wa kusajili tena na mashabiki wa Yanga wakaashadadia kweli lakini Nyuma ya pazia kumbe Simba ndio katumia pesa zaidi kuliko Yanga coz kajiokotea wachezaji wa Bure. Sasa imepinduka Simba wanasema Yanga Hana pesa ya kuweka Kambi nje ya nchi na mashabiki wa Simba watashadadia kweli japo Yanga nao watajifanya Haina maana sana kuweka Kambi nje ya nchi. Mashabiki wa hizi timu wanaukichaa kwa mbaali ndio maana Huwa wanazielewa hizi timu
 
Uto kuna nati zilikatikaga kichwani. Msimu ujao mtalia na kusambaratika.. CAF ndio sindano yenu ya moto kwisha habari yenu.
 
mbona mna hasira hivi nimetoka kuitwa muongo in a span of 10 seconds to this? kwani mlitarajia team gani wajameni ije?
Mwaka jana tulicheza na zanaco ya huko zambia na ndipo mlipomuonea phiri,sioni ajabu kuwaalika red arrows mwaka huu sema kolo's mnaongea mno
 
Naona kipigo cha kina Kapumbu kimewapa somo mmeamua kuleta timu ya daraja lenu ili angalau mpate sare.
 
Aziz ki ni free agent but still ndio mchezaji ghali Tanzania kwa sasa,kolo's mnadai nyie ndie mmetumia pesa nyingi kununua wachezaji then hapo hapo mnadai Yanga imeshindwa kuweka kambi nje ya coz ya pesa waliyompa aziz ki,kolo's mliandaa hadi jezi kwa ajili ya aziz ki sema mlishindwa kwenye pesa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…