Yanga FC yaingia mkataba mpya na SportsPesa wa miaka 3 wenye thamani ya Tsh Bilioni 12

Kifupi s pesa alishafilisika nakumbuka mpaka wingereza walimvunjia mkataba ssimba ikamvunjia leo atoe wapi hiyo ela ila sishangai maana mwanahisa ni ni mwanasiasa tena nni kiongozi wa yanga mbona hajatoa bonas ya clabu bingwa
Acha propaganda za kishamba.

Simba hakumvunjia mkataba sportpesa ila ni mkataba uliisha.
 
Hao sportpesa wanatamba bongo
Kule kenya walishafungashwa virago vyao
 
Kwi kwi alisikika kinyesi mmoja akiandika
Alichokifanya tarimba abbas ni kutoa pesa ya mfuko wa kushoto na kulia na kuzichanganya pamoja na kuwapa uto baada ya simba kukataa kurenew mkataba.
Hii Sasa Sifa mkataba wa bilion nne na ushee Kwa mwaka!! Nyie Sport pesa mnawafanya Yanga waende kuchukua vikombe vyote msimu ujao. Ina maana ni mara tatu ya mkataba walio ingia Simba.

Kama Yanga watafanikiwa kupata udhami kwenye kampuni nyingine na jumla ya udhamini wao ukafika bilioni nane basi hakuna Sababu yoyote ya kufanya timu isifike robo fainali Kila msimu wa mashindano ya Caf champion league.
 
Mkataba bilioni nne kwa mwaka halafu ukichukua ubingwa unapewa millioni 150 hapa labda adanganywe kichaa[emoji23][emoji23][emoji23]

Ina maana posho ya kuchukua ubingwa inaenda almost mara 26 ya mkataba wa mwaka. na wakati simba alivyokuwa bingwa alipewa milioni mia. Mkataba kitaaalamu umepanda almost mara nne ya ule wa awali na ilihali posho ya kuwa bingwa imepanda kwa asilimia 50.wewe ulisikia wapi kitu kama hichi

Ila sishangai kwa Tanzania ni kawaida maana yule waziri alisema asilimia 80 ya vijana wako na ajira[emoji23][emoji23]
 
unavyo relate havina logic kabisa, bonuses hua ni added terms inaweza iwepo au isiwepo kabisa na hakuna kesi
 
Mkataba bilioni nne kwa mwaka halafu ukichukua ubingwa unapewa millioni 150 hapa labda adanganywe kichaa[emoji23][emoji23][emoji23]

Ina maana posho ya kuchukua ubingwa inaenda almost mara 26 ya mkataba wa mwaka. na wakati simba alivyokuwa bingwa alipewa milioni mia. Mkataba kitaaalamu umepanda almost mara nne ya ule wa awali na ilihali posho ya kuwa bingwa imepanda kwa asilimia 50.wewe ulisikia wapi kitu kama hichi

Ila sishangai kwa Tanzania ni kawaida maana yule waziri alisema asilimia 80 ya vijana wako na ajira[emoji23][emoji23]
Rudia kusoma huo utumbo ulioandika halafu kasome alichoandika mtoa mada.
 
Nafikiri unazungumzia offer ya miaka ya nyuma, sidhani kama simba wangetaa offer kama hii waliyopewa Yanga
Kuna kitu kinaitwa skills ktk mazungumzo so Yanga ana watu wake na Simba nae watu wake na hawafanani, so kiwango kinategemea una watu wa aina gani.
 
haelewi kuwa wapo wataalam hapo walishapiga hesabu zao, wanajua kabisa lazima mashabiki wote wa yanga wataanza kutumia sportpesa kubet
Sasa yanga na simba nani anamashabiki wengi mitandaoni? Angalia official page za kila timu utajua wepi wanatumia smart phone na wepi sportpesa amefeli kupoteza mdau kama simba kwa ushabiki mandazi wa Abas Tarimba
 
All i know is watu wa kamali hawanaga ujinga, mahesabu yao ni mihela tuu
 
Back
Top Bottom