Yanga FC yaingia mkataba mpya na SportsPesa wa miaka 3 wenye thamani ya Tsh Bilioni 12

Yanga FC yaingia mkataba mpya na SportsPesa wa miaka 3 wenye thamani ya Tsh Bilioni 12

Wewe unaingiza ushabiki..Mimi nimekuambia ukweli,tarehe moja si wiki ijayo ? Tusubiri
Mimi sisubiri ninacho andika ndio uhakika na akiwezi kubadilika. Simba papara Yao na ukosefu wa bajeti ya usajili ndio ilio wasukuma kuingia makubaliano waliyo ingia.
Uongozi wa Simba hauta amini Yanga wanacho kwenda Kuvuna.
 
Ni kesho au tarehe1.?

Anyway. Walikuwa wakingoja Yanga watangaze dau ili nao watangaze lao.

Wannacheza ule mchezo wa "wewe una 6 mimi nina 7"[emoji23]
Kama m bet walikua wanangoja sportpesa ,kwann hao sportpesa wasingoje hao m bet maana wa kwanza kutangaza tarehe ni simba na m bet
 
Tuwangoje wapikaji watakuja na kipi jumamosi.
Wazee wakuongeza sifuri hizi taarifa za sportpesa ndo walikuwa wanazisubiri na sasa hivi wapo kazini kupika taarifa ili kuwatuliza mashabiki zao mambumbumbu
 
Wazee wa kuongeza sifuri kwenye mikataba yao ndio wakati wao kuja kuongeza sifuri Mara baada ya kutangaza mkataba wao bila kueleza thamani ya huo mkataba
Nitajie mikabata miwil ambayo waliongeza iyo 0
 
Mkataba Mezani Hakuna Janja Janja[emoji169][emoji172]

Sio "Ooooh Unajuaaa Huu Mkataba Kuna Vitu Bado Bado Kwaio Tutautolea Ufafanuzi" [emoji1787][emoji1787]
IMG_20220727_134548.jpg
 
Simba ata wakificha au kudanganya ni kazi Bure, hakuna Siri ambayo menegment ya M-bet itahusika na mtu mmoja, Siri itavuja tu. Kazi itakua kuwafafanulia mapato na Matumizi Wanachama wa Simba kwenye mkitano mkuu.
Na kwann wafanye ivyo, mbona wacwac mwingi yanga alisain mkataba karbu 3b ,simba hakusain je kuna tatzo gan
 
4bil kwa mwaka, meaning faida ya huyu mtu si chini ya 30bil kwa mwaka.

Inamaana betting ndio inalipa kiasi hiki?
Vijana wengi sasa hivi betting ndo ajira yao, sikiliza radio station sasa hivi baadhi ya vipindi vyao kupromote betting tu
 
... Ina maana ni mara tatu ya mkataba walio ingia Simba.
Simba hawajaingia mkataba na SportPesa, acha kupotosha. Na hata hao walioingia nao, hawajatangaza viwango na waliwqeka wazi kuwa undani wa mkataba utatangazwa tarehe 1 August. Kumbuka, Simba walikataa ofa hiyo ya SportPesa na hilo lilisemwa na Tarimba Abbas

 
Back
Top Bottom