Mbimbinho
JF-Expert Member
- Aug 1, 2009
- 8,328
- 7,784
Wewe Simba kaingia mkataba wa Billion 15 kwa miaka 3 na MBet, sasa unasemaje mara tatu?? Simba wako juu.Hii Sasa Sifa mkataba wa bilion nne na ushee Kwa mwaka!! Nyie Sport pesa mnawafanya Yanga waende kuchukua vikombe vyote msimu ujao. Ina maana ni mara tatu ya mkataba walio ingia Simba.
Kama Yanga watafanikiwa kupata udhami kwenye kampuni nyingine na jumla ya udhamini wao ukafika bilioni nane basi hakuna Sababu yoyote ya kufanya timu isifike robo fainali Kila msimu wa mashindano ya Caf champion league.
In Karia voice