Yanga FC yaingia mkataba mpya na SportsPesa wa miaka 3 wenye thamani ya Tsh Bilioni 12

Yanga FC yaingia mkataba mpya na SportsPesa wa miaka 3 wenye thamani ya Tsh Bilioni 12

Investment on our soccer italiboresha soccer letu.

Well-done yanga.

Tafuteni muwekezaji mwengine na mwengine.

Mambo ya uchawi uchawi yashapitwa na wakati.

Pesa ndio Kila kitu.

Engineer Hersi pambana pia Yanga ipate uwanja wake yenywe kama vile azam

Hii legacy iibe bro wangu.

Weka mikakati excute plans

Wale wengi waache wakomae na yule jamaa yao anaesusasusa.
 
Kesho utawasikia M-Bet nao ,manake wameingia mkataba nao ila hawajataja kiwango wanachoipa Simba ,subirini mda si mrefu mtawasikia.
 
Hahhahaha eti bilioni 4? Basi sportpesa wanashida sana timu inayotokea preliminary stage CAF unaweka pesa yote hio? Mkurugenzi mtendaji wao sportpesa ndio atakua anguko lao
Kameze wembe maana kujinyonga utachelewa kufa kwa wivu
 
4bil kwa mwaka, meaning faida ya huyu mtu si chini ya 30bil kwa mwaka.

Inamaana betting ndio inalipa kiasi hiki?
oh jamaa wanapiga hela nyingi tuuna hizi buku buku zetu 🤣 🤣 🤣
 
Back
Top Bottom