Yanga FC yaingia mkataba mpya na SportsPesa wa miaka 3 wenye thamani ya Tsh Bilioni 12

Yanga FC yaingia mkataba mpya na SportsPesa wa miaka 3 wenye thamani ya Tsh Bilioni 12

Kameze wembe maana kujinyonga utachelewa kufa kwa wivu
haelewi kuwa wapo wataalam hapo walishapiga hesabu zao, wanajua kabisa lazima mashabiki wote wa yanga wataanza kutumia sportpesa kubet
 
Bilioni 4 kwa mwaka.

Bilioni 12 kwa miaka 3.

Hakuna klabu yeyote afrika mashariki "na kati" iliyowahi kusaini mkataba wenye thamani hii.
View attachment 2305617


Miaka 5 iliyopita kwenye udhamini wa Sportspesa Yanga walipokea 5B na chenji, huu udhamini mpya Yanga watapokea 12B na chenji kwa miaka 3. Tafsiri ya timu KUBWA. [emoji169][emoji172]
Hii yanga inavyoenda itakuwa kama real madrid aiseh
 
kenya walikimbizwa na sheria na sio kushuka kimapato. betting company ikiwa na option nzuri pamoja na bonus watu wataikimbilia tu bila kujali inadhamini utopolo
wewew tulizana usiwe na roho mbaya, wenzio hiyo hela wanarudisha bila wasiwasi. sio wajinga wale
 
Sasa ndio wasaa mzuri wa wazee wa kuongeza sifuri kwenye kwenye mikataba yao kuja kufanya yao baada ya kutangaza deal lao bila kueleza thamani ya huo mkataba
 
wewew tulizana usiwe na roho mbaya, wenzio hiyo hela wanarudisha bila wasiwasi. sio wajinga wale
but nahisi na utakatishaji wa fedha haramu unaweza jificha humo. timu 0.5 ndo uwadhamini kwa hela yote hiyo?????????????
 
Back
Top Bottom