Yanga FC yaingia mkataba mpya na SportsPesa wa miaka 3 wenye thamani ya Tsh Bilioni 12

Una akili kichwani wewe mbugila?? Unaijua bil 31 kwa miaka mitano??
Mbona mkataba wa Simba washasema tayari ni Bil 15 kwa miaka mi5?? Wewe hiyo Bil 31 umeitolea wapi??

Huna akili.
Wewe ni kiande kweli ilete statement official yoyote ya simba inayosema imeingia mkataba wa miaka 5 kwa billioni 15
 
Tunasubiri mzigo wa M-Bet kwa watani wetu ili tuone nani atanufaika zaidi na haya makampuni ya kamari.
 
Mumepata hela muache kujinyeanyea sasa

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Ngoja tusubiri , maana hata Mo alisema bil 20 lakini hadi sasa tungali tunasubiri
 
B 20 za Siri byuti byuti.[emoji2][emoji2]
 
"Yanga hana hela ameshindwa kwenda pre season" alisikika mbumbumbu kolo akisema
 
Sasa yanga na simba nani anamashabiki wengi mitandaoni? Angalia official page za kila timu utajua wepi wanatumia smart phone na wepi sportpesa amefeli kupoteza mdau kama simba kwa ushabiki mandazi wa Abas Tarimba
Yanga tayar ana digital database ya wanachama wake hai ambao wamejisajili kiditali ambao ni vivid na zaidi ya hao followers wa page za mitandao ya kijamii ambao wengi wa kutengeneza
 
Unajua maana ya Bonus? Au una kurupuka tu?
 
Unajua maana ya bonus?
 
Sasa yanga na simba nani anamashabiki wengi mitandaoni? Angalia official page za kila timu utajua wepi wanatumia smart phone na wepi sportpesa amefeli kupoteza mdau kama simba kwa ushabiki mandazi wa Abas Tarimba
Unaamini kwamba followers ndio mashabiki?
 
Point ni kuweka helaaa sio kujidai mwekezaji wakati hata mdhamini anakushindaa kuweka mpungaa... maarifa yako kaa nayoo mpaka siku MO akiweka bil 20 mezani sio kwenye makaratasi
Sasa kwa akili ndogo uliyonayo, kwa nini unadhani mdhamini hastahili kuweka fedha ndefu kuliko mwekezaji? Unadhani kwa nini Simba walikataa udhamini wa GSM kwenye ligi ya Bara pale alipoweka sh. 2B (bilioni mbili tu) kwa timu 16?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…