Yanga haina Daktari wa Timu?

Ushasema yanga,kwani tangu lini wakawa na akili?? Leo wachezaji wa simba,ally salim,boubacar sarr,che malone fondoh na duchu walikuwa n red eyes,wote wamepumzishwa ili kuwalinda wachezaji wengine na maofisa hasa wakati wa kusalimiana,lkn hata kuwapa muda mzuri wa kupona vzr,ila haya majamaa sasa yakamfosi mtoto wa watu aende akacheze akati anaumwa.
 
Sawa mtaalamu umeuliza kwani kuvimba macho lazima iwe ni ugonjwa sasa kama sio ugonjwa hayo macho yatavimbaje kwenye kipindi ambacho kuna wimbi la Ugonjwa wa macho...Simba/ Yanga pana vitu vya hovyo wanafanya na TFF wanakaa kimya..
 
Red eyes sio sawa....lakini labda sio red eyes...? Poleni wana njombe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…