Smart AJ
JF-Expert Member
- Mar 21, 2022
- 5,564
- 5,884
Ushasema yanga,kwani tangu lini wakawa na akili?? Leo wachezaji wa simba,ally salim,boubacar sarr,che malone fondoh na duchu walikuwa n red eyes,wote wamepumzishwa ili kuwalinda wachezaji wengine na maofisa hasa wakati wa kusalimiana,lkn hata kuwapa muda mzuri wa kupona vzr,ila haya majamaa sasa yakamfosi mtoto wa watu aende akacheze akati anaumwa.