Yanga haina Daktari wa Timu?

Yanga haina Daktari wa Timu?

Ushasema yanga,kwani tangu lini wakawa na akili?? Leo wachezaji wa simba,ally salim,boubacar sarr,che malone fondoh na duchu walikuwa n red eyes,wote wamepumzishwa ili kuwalinda wachezaji wengine na maofisa hasa wakati wa kusalimiana,lkn hata kuwapa muda mzuri wa kupona vzr,ila haya majamaa sasa yakamfosi mtoto wa watu aende akacheze akati anaumwa.
 
Aisee mmefikia hatua mbaya ya kuchanganyikiwa.
1) tukio la Yanga halijavunja kanuni yeyote ya mchezo kwasababu limefanyika kipindi cha mapumziko na isitoshe Yanga alikuwa ndiye mwenyeji wa mchezo. Au kwenye mchezo wa mpira wa miguu kuna matukio yamekatazwa yasifanyike wakati mchezo ukiwa mapumziko? Embu njoo uniambie Yanga imevunja kanuni ipi.

2) Kuhusu Mzize, kuna ripoti ipi kutoka kwa Daktari ikionesha kuwa Mzize ni mgonjwa wa macho? Kwani kuvimba macho lazima iwe ni ugonjwa?
Sawa mtaalamu umeuliza kwani kuvimba macho lazima iwe ni ugonjwa sasa kama sio ugonjwa hayo macho yatavimbaje kwenye kipindi ambacho kuna wimbi la Ugonjwa wa macho...Simba/ Yanga pana vitu vya hovyo wanafanya na TFF wanakaa kimya..
 
Red eyes sio sawa....lakini labda sio red eyes...? Poleni wana njombe
 
Back
Top Bottom