Yanga hatofuzu kwenda makundi, naiona draw kwa Mkapa

Sijui ni kwanini Simba mmechanganyikiwa sana na issue za Yanga. Mmekosa utulivu kabisa
wamechanganyikiwa sana..ile juzi nipo nao tunacheki mechi hawakuamini kilichotokea! Sisi tunacheza mpira wa kitabuni, speed..mtu hadi unajisikia raha kucheki mpira.

Sio ule wa simba debwe debwe mpira unakosa radha ya kuuangalia wanacheza mpira kama hawataki bhana.mpira slow..
 
Hakuna maendeleo bila ya kukinzana, na kwa sababu hii Yanga itafuzu kwa Mkapa:-
1-Nia tunayo
2-Sababu tunayo
3-Uwezo tunao wa kumnyoa mpinzani kwa Mkapa.
 
Ngoja muda tuupe muda.
 
Mechi ya lawama hiyo km wachezaji wa uto wataingia uwanjani kwa panik walah watapoteana pale na hapo ndio lawama zitaanzia
Mm sio mtabiri ila baka na job watakua miongoni mwa watakao lalamikiwa TRA
 
,
 
Kwani Yanga hakutengeneza nafasi kwenye mechi ya Al hilal. Shot on target Yanga aliongoza.
Hakuangalia mpira huyu..
Angeangalia match ya Al hilal na Yanga angegundua kitu.
Halafu angeangalia match ya Mc alger & Tp mazembe angegundua waarabu hamna kitu wanaweza figisu tu...
ile mechi ingekua Mazembe wangempata kiungo na mtu kama karumugisha waarabu wangekufa kwao!
Yani hata wakifuzu wale jamaa hawatoboi robo kabisa
Tena watatolewa kwa aibu kubwa!
 
Akiwa shabiki hana maoni binafsi?
ivi ulitazama michezo yote ya kundi la yanga? Ukiwa ulitazama basi hautamsapoti huyu mleta mada,kwanza tu heading tu amekosea, pili sababu hazina mantiki na uhalisi wa mchezo kati ya HILAL VS YANGA. yaani ameokota okota vipointi ili tu aonekane tu kuwa anaisema vibaya yanga. Jambo ambalo limekaa kishabiki si maoni binafsi.
 
Mkuu, bado ni maoni binafsi. Ila upo sawa kuna ushabiki unaonekana but ndo mpira ulivyo.
 
Msingi wa hoja yangu hapa ni kuwa siioni yangu robo fainali, sababu nimezielezea hapo juu, niliweka tahadhari kabla ya kupost nikijua mashabiki lialia Kama ww ni ngumu kuelewa, nimetoa sababu kwa maelezo marahisi sana haya ikitimia sijui utaongea Nini kujitetea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…