Yanga hatofuzu kwenda makundi, naiona draw kwa Mkapa

Gusa achieni halafu mkanye.
 
Mshindi wewe,
Tupe basi na utabiri wa mechi ya kesho Mnyama FC tuone tunaishije.
 
Mtudharau wakati utopolo mlikuwa mnajigamba kwa kucheza fainali! Ficheni upumbavu wenu nyie wajinga.
Tumekwama ila 5imba kakwama zaidi kucheza shirikisho yaani mashindano ya akina mama
 
Kikosi kipanaa kinaendelea kufinywa. Mmezoea kutamba humu ndani. Punguzeni kamdomo. Simba ndiye baba wa soka la kimataifa kwa nchi hii. Sasa wewe endelea kusema mashindano ya kina mama, labda itakusadia kupunguza maumivu.
Yanga tunasema ni mchezo
Ndo mambo ya CAFCL sio uko umamani
 
Tumekwama ila 5imba kakwama zaidi kucheza shirikisho yaani mashindano ya akina mama
Hujielewi na hauna akili ya mpira. Wakati wewe unacheza hiyo michuano ukaenda hadi fainali "je nyie mlikuwa akina mama!?"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…