Mwishokambi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 390
- 1,425
Mpira ni mchezo wa wazi, jamaa wanavyocheza na aina ya wachezaji wao kusema kuwa wanabebwa sio ukweli Iła ni propaganda zinazoletwa na watu wetu ndani ya Simba kutuandaa kisaikolojia, hii vita ya ubingwa kwa watu wangu navowajua, nyie subirini mzunguko wa pili ławama zitakuwa kibao.
Kunambia kuwa Mukwala atanipa ubingwa msimu huu nakataa mchana peupe.
Tuongeze wachezaji dirisha dogo wachezaji Wanaomzidi uwezo Kibu Dennis, wachezaji ambao hapa nchin hata mtoto akimuona dimbani atasema huyu mtu, sio Mukwala.
Soma Pia: Full Time: Yanga SC 5-0 Fountain Gates FC | NBC Premier League | KMC Complex | 29 Disemba, 2024
Sio kwa ubaya Simba ni timu yetu na mwaka huu tunautaka ubingwa lakini uwezo wa timu lazima uanzie kwenye wachezajj na benchi la ufundi.