Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sahihi kabisa. Simba ina project mpya inayohitaji muda kutoa matokeo endelevu ila vijana wanapambana. Mpinzani wetu kwa kikosi alichokuwa nacho na majigambo ya mwanzoni mwa msimu anahitaji matokeo ndiyo maana mechi moja akitetereka wanatafutana. Pressure ipo kwa uto.Hadi sasa hivi hapa tulipofikia SIMBA tumefanikiwa sana tu kuliko NYUMA MWIKO kwasababu kuu zifuatazo;
1.Msimu huu SIMBA tumesajili kikosi kizima sambamba na benchi jipya la ufundi yaani kwa kifupi tumeanza upya. Raundi ya kwanza imeisha tunaongoza ligi tena tukiwa tumeruhusu magoli machache kuliko timu zote na tunaongoza kwa clean sheet tukiwa na clean sheet 12 kati ya michezo 15 just imagine kipa bora msimu uliopita leyi matampi alikuwa na clean sheet 15 tu. Makofi kwa coch fadlu.
2.Nyuma mwiko kikosi chao kina misimu 3 but still sisi tunaojenga timu tumeweza kumaliza raundi ya kwanza tukiwa tumefungwa magoli machache kuliko wao, tuna clean shit 12 nyingi kuliko wao,tumekusanya alama nyingi 40 kuliko wao. Na tunaongoza ligi.
3.Tunajenga timu so UPS and DOWNS lazima ziwepo.
Kocha Ramovic anamzidi Gamondi kwa kitu kimoja tu, kutumia kikosi kizima kila mchezaji Yanga sasa anacheza hii inafanya wachezaji kuwa na nguvu na kujituma sana na timu kucheza kwa kasi na kukaba sana kwa pamoja. Wachezaji hawachoki maana wanapishana, maua mengi kwa Ramovic. Walio karibu yake wamwambie kocha Ramovic ashikilie bomba falsafa hiyo inalipa sio kuchezesha wachezaji fulani hao hao kila mechi wanajiona wakubwa, wanachoka, walio benchi wanachukia kuuliwa vipaji, timu pinzani zinasoma uchezaji wao nk. Ila asimuweke sana benchi Kepteni Beka.Hili li kocha ni noma
Kila nikiwaza wapigwe ndo wanachochea moto
Mnaanza kubadili gia angani,,si mlisema mmejipata tiyali,,ayo majigambo mlikuwa nayo nyie baada ya yanga kuyumba kidogo sasa moto umerudi mnatafuta pa kuegemea,,mnaposhinda mnasema mmejipata na mambo yakienda mlama mnasema tunajenga timu,,Sahihi kabisa. Simba ina project mpya inayohitaji muda kutoa matokeo endelevu ila vijana wanapambana. Mpinzani wetu kwa kikosi alichokuwa nacho na majigambo ya mwanzoni mwa msimu anahitaji matokeo ndiyo maana mechi moja akitetereka wanatafutana. Pressure ipo kwa uto.
Bado unaendelea kutuletea vitakwimu uchwara ujakoma tu,,unachekesha sana we jamaa Yani kuruhusu goli 5 na mwenzako 6 na yenyewe ni mafanikio? Kuongoza ligi kwa point 1 na yenyewe ni mafanikio kwako? Sasa hivi lile neno la tunaongoza kwa magoli umelifuta umebaki na ayo mawili na yenyewe yatafyekwa muda si mrefu!Hadi sasa hivi hapa tulipofikia SIMBA tumefanikiwa sana tu kuliko NYUMA MWIKO kwasababu kuu zifuatazo;
1.Msimu huu SIMBA tumesajili kikosi kizima sambamba na benchi jipya la ufundi yaani kwa kifupi tumeanza upya. Raundi ya kwanza imeisha tunaongoza ligi tena tukiwa tumeruhusu magoli machache kuliko timu zote na tunaongoza kwa clean sheet tukiwa na clean sheet 12 kati ya michezo 15 just imagine kipa bora msimu uliopita leyi matampi alikuwa na clean sheet 15 tu. Makofi kwa coch fadlu.
2.Nyuma mwiko kikosi chao kina misimu 3 but still sisi tunaojenga timu tumeweza kumaliza raundi ya kwanza tukiwa tumefungwa magoli machache kuliko wao, tuna clean shit 12 nyingi kuliko wao,tumekusanya alama nyingi 40 kuliko wao. Na tunaongoza ligi.
3.Tunajenga timu so UPS and DOWNS lazima ziwepo.
ni kweli ni mchezo wa wazi, wala Yanga hawabebwi!Mpira ni mchezo wa wazi,