Yanga hawatafurukuta CAFCL.

Yanga si timu ya maana kimataifa, bora wawaachie Simba na Namungo tu. Hapa TFF iwaombe tu Yanga waache kuliwakilisha taifa, wanatutia haibu mno.
 
Tatizo mpira umeujulia ukubwa inawezekana kipindi hiko may be ulikuwa umehifadhiwa kwenye zipu.
Kombe gan hilo? Si utuambie, na alicheza na team ipi? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahah poleeeeh kwa kuteseka.
 
Yanga bado sana ukiangalia kwa jana hawakupiga hata shot on target hata moja huko hakuna watachoenda kufanya round ya kwanza watatolewa kama kawaida yao
 
Usikariri kongo sio KONGOWE
Kama Simba hii iliyofungwa na mbeya city+ kagera wanafika robo Leo yanga hii ambayo inaongoza ligi bila kufungwa ndio washindwe kufurukuta?
 
Timu ina maliza dakika 90 bila Shot on target ina maana Simba hata wasingemchezesha Manula golini bado Yanga wasingefunga Goli jana.
 
Simba jana walikuwa na uwezo wa kumtoa Manula golini na bado mpira usingeingia wavuni kwao
 
Sasa utasemaje iko sawa na timu iliyoingia robo fainali 2022
Kwani aliye ingia 1998 na 2022 utofauti wake upo wapi? au labda Yanga alikuwa anacheza na mikono na Simba alikuwa anacheza na miguu.
 
Kombe gan hilo? Si utuambie, na alicheza na team ipi? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahah poleeeeh kwa kuteseka.
Naweza ukakuta unaye zungumza nae hata mpira hajui unachezajwe na ndio maana nilikuambia ulikuwa bado upo kwenye zipu.

Yanga vs Asec Mimosa vingine kagoogle.
 
Simba jana walikuwa na uwezo wa kumtoa Manula golini na bado mpira usingeingia wavuni kwao
Wangemtoa halafu ndio ungeona zile clear chance za Nkane na Mayele zingekuwaje.
 
haya tutaona huo muunganiko wenu
Je baada ya Simba kutupwa nje klabu bingwa na jwaneng galaxy ilienda wapi?
 
😀 Mayele, juma,Bangala,Aucho na moloko uliwaona uwanjan?
mbona jana walikuwa uwanjani sikuona maajabu yoyote
Nb bila mayele, juma, bangala aucho na moloko uto hamna timu si ndio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…