Jamaa_Mbishi
JF-Expert Member
- Jun 15, 2013
- 9,626
- 6,731
Yanga si timu ya maana kimataifa, bora wawaachie Simba na Namungo tu. Hapa TFF iwaombe tu Yanga waache kuliwakilisha taifa, wanatutia haibu mno.Baada ya kuangalia mchezo wa leo baina ya Simba na Yanga, ni dhahiri yanga hawana timu ya kufanya maajabu ligi ya mabingwa msimu ujao.
Timu imejengwa kumzunguka mtu mmoja tu kiasi kwamba akishadhibitiwa basi tu inatepeta.
Simba ndio kipimo cha watakachokutana nacho ligi ya mabingwa. Kama Yanga wako serious wanatakiwa kusajili hasa wachezaji wenye uwezo wa kuamua michezo migumu. Sio hawa kina sure boy..
View attachment 2206582