Yanga hawatafurukuta CAFCL.

Yanga hawatafurukuta CAFCL.

Baada ya kuangalia mchezo wa leo baina ya Simba na Yanga, ni dhahiri yanga hawana timu ya kufanya maajabu ligi ya mabingwa msimu ujao.
Timu imejengwa kumzunguka mtu mmoja tu kiasi kwamba akishadhibitiwa basi tu inatepeta.
Simba ndio kipimo cha watakachokutana nacho ligi ya mabingwa. Kama Yanga wako serious wanatakiwa kusajili hasa wachezaji wenye uwezo wa kuamua michezo migumu. Sio hawa kina sure boy..

View attachment 2206582
Yanga si timu ya maana kimataifa, bora wawaachie Simba na Namungo tu. Hapa TFF iwaombe tu Yanga waache kuliwakilisha taifa, wanatutia haibu mno.
 
Tatizo mpira umeujulia ukubwa inawezekana kipindi hiko may be ulikuwa umehifadhiwa kwenye zipu.
Kombe gan hilo? Si utuambie, na alicheza na team ipi? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahah poleeeeh kwa kuteseka.
 
Yanga bado sana ukiangalia kwa jana hawakupiga hata shot on target hata moja huko hakuna watachoenda kufanya round ya kwanza watatolewa kama kawaida yao
 
Usikariri kongo sio KONGOWE
Kama Simba hii iliyofungwa na mbeya city+ kagera wanafika robo Leo yanga hii ambayo inaongoza ligi bila kufungwa ndio washindwe kufurukuta?
 
Timu ina maliza dakika 90 bila Shot on target ina maana Simba hata wasingemchezesha Manula golini bado Yanga wasingefunga Goli jana.
 
Simba jana walikuwa na uwezo wa kumtoa Manula golini na bado mpira usingeingia wavuni kwao
 
Sasa utasemaje iko sawa na timu iliyoingia robo fainali 2022
Kwani aliye ingia 1998 na 2022 utofauti wake upo wapi? au labda Yanga alikuwa anacheza na mikono na Simba alikuwa anacheza na miguu.
 
Kombe gan hilo? Si utuambie, na alicheza na team ipi? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahah poleeeeh kwa kuteseka.
Naweza ukakuta unaye zungumza nae hata mpira hajui unachezajwe na ndio maana nilikuambia ulikuwa bado upo kwenye zipu.

Yanga vs Asec Mimosa vingine kagoogle.
 
Twende kwa fact:

1) kuna wachezaji hawakucheza Mayele, Djuma na Aucho
2) kikosi hakikupata muda wa kutosha kuandaliwa kwaajili ya klabu bingwa kwenye pre season na wakacheza mechi moja tu ya kirafiki.

Lakini Simbo ambao walitumia zaidi ya mwezi kwenye maandalizi ya klabu bingwa kwa kuweka kambi Morocco na Arusha huku wakicheza michezo kibao ya kimataifa ya kirafiki lakini wametolewa na Galaxy na kutupwa nje kwenye klabu bingwa
haya tutaona huo muunganiko wenu
Je baada ya Simba kutupwa nje klabu bingwa na jwaneng galaxy ilienda wapi?
 
Kikosi kilikuwa hiki? Pole kolo 😀
kilikuaje bwana uto?

1AD1A5F5-5507-4C91-B50B-2A33E7E463B2.png
 
😀 Mayele, juma,Bangala,Aucho na moloko uliwaona uwanjan?
mbona jana walikuwa uwanjani sikuona maajabu yoyote
Nb bila mayele, juma, bangala aucho na moloko uto hamna timu si ndio
 
Back
Top Bottom