GUSA ACHIA BAHASHA GOLI
JF-Expert Member
- Apr 19, 2023
- 5,110
- 7,349
Hivi mlivyovunja makolo mtavilipa
View: https://twitter.com/Tanganyikan/status/1731583096904933552?t=unY9MuR9N6TEWNKJQuA0FQ&s=19
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi mlivyovunja makolo mtavilipa
Nimekurupuka mimi au wewe ulivyo kuwa kiazi,mimi nimecomment kutokana na clip ile iliyopostiwa ambayo inaonyesha reality. .
Lini tumeenda mbele ya makao makuu yenu? Yaani tuache kupita barabara ya serikali,kisa kuna makao makuu ya 5imba.
Haya tumepita karibu na makao makuu,umeona sehemu tumeharibu kitu chochote cha serikali?
Sasa adhabu anapewa Yanga au hao waarabu na fataki zilianza kiwasha baada ya Al Ahly kupata goli.
Yaani fujo wafanye waarabu na wazee watano haafu adhabu apewe Yanga.Yaani mnapenda kujifariji kwa matukio ya Yanga.
Sisi tunawakaribisha kwenye mechi zetu,ila msifanye fujo kama fujo mkafanye kwenye timu yenu. Au unafikiri tumesahau mlivyo ng'oaga viti NBC huku, tatizo timu lenu halina ustaarabu kuanzi mashabiki mpaka wachezaji walio choma nyasi za Wasouth kwa kuota moto.Mshazea kuharibu vitu vya watu.
MASHABIKI WA SIMBA NA AL AHLY NDO WATAKAOPIGWA FAINI JUU YA HILO...VIELELEZO VIPO VYA WAO KUFANYA HILO TUKIO
Hadi mambele huko watu wanagoma ili kuleta shinikizo na mabadiliko yanafanyika kutokana na mashinikizo hayo. Ni huko kwenu mlikolelewa kwenye mitazamo ya hovyo ndiyo mnadhani viongozi ni miungu watu hawawezi kukosea au kukosolewa.Taasisi imara huwaga haisusi bali washikadau wote hushikamana na kuwa pamoja, kinyume chake taasisi yenu sio imara.
Utoto raha saaanahapo kwenye "5imba" simu yangu ikifikia hilo neno "s" hai-respond.
Mbele wapi.....!!! labda hapo kwenye timu yenu, Newcastle kishashuka daraja mara mbili, ila sijawahi kuona wakisusa kwenda uwanjani,Nottingham Forest pamoja na historia yake ya UEFA tatu,imeporomoka huko imeangaika kupanda ila sijawahi kuona wakisusa kwenda uwanjani. Leeds sijui kama unaijua na inawezekana ni kawa na bishana na kijana mdogo,ila ndio timu iliyo mtoa Rio Ferdinand na Mark Viduka,hiyo timu ilikuwa inatoa changamoto Kwa Arsenal,Liverpool,Man Utd ikaporomoka ila sijawaona mashabiki wakisusa. Arsenal kala nane,Liverpool kala saba na Aston Villa,Man Utd kala sita na City,Barca kampiga Madrid sita nyumbani kwake na tano ugenini hawajawahi kususa.Hadi mambele huko watu wanagoma ili kuleta shinikizo na mabadiliko yanafanyika kutokana na mashinikizo hayo. Ni huko kwenu mlikolelewa kwenye mitazamo ya hovyo ndiyo mnadhani viongozi ni miungu watu hawawezi kukosea au kukosolewa.
Utoto raha saaana
Unatumia nguvu kubwa kwa jambo lisilo na maanaKuhusiana na 's' simu yangu inashindwa kutambua hasa nikiandika "5imba" na vilevile hii simu inatumia AI kujua watu waliosusa, hata wewe mwenyewe ushaisusa timu yako na ndio maana wengi mnataka kujifariji na matokeo ya Yanga.
Wewe unafuatilia tu mambo ya viwanjani EPL, hayo mambo ya kususa utayajuaje ukiwa huko Nanjilinji? Kuna njia nyingi za kususa au kuonyesha hisia zako kwa mambo usiyoyakubali. Bahati mbaya katika kanchi kenu, baada ya kutishiwa na kutishika, mmeshindwa hata kubuni njia mbadala za kuzibana taasisi katika changamoto nyingi ambazo zimeshindwa kuzitatua. Huko EPL ulipotolea mifano ndiyo mabingwa wa kususa na kupinga, hao Simba unaowasema ni afadhali. Hii mitandao itumie vizuri utajifunza mengi, usibaki tu unatetea ujinga wa timu yako na kuongea mambo usiyoyajua.Ila sijawaona mashabiki wakisusa
Uharibigu ufanywe na Makolo Dunduka NGANDA 5 G halafu adhabu ipewe YANGA.Serikali imetumia hela kuboresha uwanja,hata Simba wana sehemu jasho lao katika kurepair na hayo yote yalifanywa kwa ajili ya kuheshimisha nchi kwenye mashindano ya kimataifa hasa African football league,club bingwa na AFCON, uwanja sasa hata timu mbali mbali za mataifa mengine wanaulipia na kucheza hapo, lakini hawa wennzetu hawana uchungu, TFF inatakiwa iwapige faini pamoja na Yanga kutoa hela kwa uharibu wote uwanja urekebishwe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa viwanjani si naona mashabiki wanaisupport timu yao na uzuri wenzetu attendance wanaitoa wakati uleule wa mechi ikiendelea. Man U washaifanyia fujo familia ya Glazer ila hawajawahi kususa kuiangalia, timu yao.Unatumia nguvu kubwa kwa jambo lisilo na maana
Wewe unafuatilia tu mambo ya viwanjani EPL, hayo mambo ya kususa utayajuaje ukiwa huko Nanjilinji? Kuna njia nyingi za kususa au kuonyesha hisia zako kwa mambo usiyoyakubali. Bahati mbaya katika kanchi kenu, baada ya kutishiwa na kutishika, mmeshindwa hata kubuni njia mbadala za kuzibana taasisi katika changamoto nyingi ambazo zimeshindwa kuzitatua. Huko EPL ulipotolea mifano ndiyo mabingwa wa kususa na kupinga, hao Simba unaowasema ni afadhali. Hii mitandao itumie vizuri utajifunza mengi, usibaki tu unatetea ujinga wa timu yako na kuongea mambo usiyoyajua.
Ngoja nimalizie kwa kukupa mifano michache halafu nikuache ukakojoe ulale.
Mashabiki wa EPL walipinga na kuandaa aina mbalimbali za kususa taratibu za kutangaza mechi za ligi hadi ikapelekea taratibu rafiki tuanza kutumika. Mashabiki wa Newcastle waliwahi kuamua kuchanga pesa kwa ajili ya hisani badala ya kulipia PPV kuiona timu yao dhidi ya Man U kupinga bei ya tiketi. Hiyo ni aina moja ya kususa. Mfano mwingine, mashabiki wa Borussia Dortmund waliwahi kususa kwa dakika 20 za mwanzo za mchezo halafu wakarusha mipira ya tennis uwanjani kupinga bei za tiketi. Mfano mwingine, karibia mashabiki 10,000 wa Liverpool waliwahi kususa kwa njia ya kuingia uwanjani halafu wakatoka kabla ya mechi kupinga bei ya tiketi. Mashabiki wa Man U walisusa kupinga mambo ya umiliki wa timu. Na kuna yale maandamano makubwa kule Brazil kabla ya Kombe la Dunia 2014. Utayajulia wapi haya?
Na nikwambie pia nilipokuwa naongelea mambele, sikuwa namaanisha tu kwenye mpira, kwenye sehemu za watu wanaojitambua njia tofauti zinaweza kutumika kuonyesha kutoridhishwa na mambo yanayoendelea. Halafu unaongelea kususa, unajua kuna wanachama wa Yanga waliwahi kuiteka timu kutoka katika mikono ya viongozi?
Kumbe ni serikali sio nyie?Serikali imetumia hela kuboresha uwanja,hata Simba wana sehemu jasho lao katika kurepair na hayo yote yalifanywa kwa ajili ya kuheshimisha nchi kwenye mashindano ya kimataifa hasa African football league,club bingwa na AFCON, uwanja sasa hata timu mbali mbali za mataifa mengine wanaulipia na kucheza hapo, lakini hawa wennzetu hawana uchungu, TFF inatakiwa iwapige faini pamoja na Yanga kutoa hela kwa uharibu wote uwanja urekebishwe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekutolea mifano ambayo inaonyesha mashabiki wamesusa kwenda viwanjani bado unabisha tu. Na nimekuonyesha wengine wanakwenda uwanjani halafu wanatoka, hiyo yote ni kuonyesha wako serious na jambo lao. Kwani unadhani hao mashabiki wa Simba waliosusa wamesusa milele? Nia ni kufikisha ujumbe kama wanavyofanya huko unakotolea mifano na unaona kitendo walichofanya kimezaa matunda kwa hatua stahiki kuchukuliwa. Wewe kinachokuuma mashabiki wa Simba kususa ni nini, mbona umelivalia njuga halafu ni jambo limeshapita? Na nyie mlisusa kwenye mechi na Al Ahly mbona uwanja haukujaa hata nusu, tena hapo mmelishwa supu na kuletewa msanii mkubwaa kutoka Congo lakini wapiiii?Sasa viwanjani si naona mashabiki wanaisupport timu yao na uzuri wenzetu attendance wanaitoa wakati uleule wa mechi ikiendelea. Man U washaifanyia fujo familia ya Glazer ila hawajawahi kususa kuiangalia, timu yao.
Haya hayo maandanano ya huko Brazil ya nini?Maana huko Brazil ndipo kuna machizi wa mpira.
Arsenal washabeba mabango ya kumtukana Kroenke mpaka uwanjani, ila sijawahi kuona wakisusa kuingia uwanjani.
Newcastle na aliyekuwa tajiri wao Ashley ,mashabiki wamemtukana sana Ashley ila sijawahi kuona wakisusa kuingia uwanjani na wameshuka daraja mara mbili. EPL kuna kipindi mashabiki wanakodi mpaka Chopa na kubeba ujumbe wao kama kitu fulani hawakitaki ila hawasusi kuingia uwanjani.
MBELE WATATAFUTA NJIA YA KUFIKISHA UJUMBE WAO,ILA HAWASUSI KUINGIA UWANJANI, SIJAWAHI KUONA NA UTAMADUNI HUO KWA WAZUNGU WOTE.
Matatizo ya viongozi wao huwaga hawataki kuyahamishia kwenye mahudhurio viwanjani.
Nyie kama mmeamua kususa ni utoto na uchanga wenu wa kwenye soka,kwani njia zipo nyinyi za kufikisha ujumbe kuliko kususa.
Brother mpira sisimuliwi na naviona na rudia tena ulaya hamna mbamba ,attendance wanaweka wakati uleule mechi ikiendelea. Ulaya hamna utoto huo wa kususasusa kwani inaonyesha ww ni mchanga.Nimekutolea mifano ambayo inaonyesha mashabiki wamesusa kwenda viwanjani bado unabisha tu. Na nimekuonyesha wengine wanakwenda uwanjani halafu wanatoka, hiyo yote ni kuonyesha wako serious na jambo lao. Kwani unadhani hao mashabiki wa Simba waliosusa wamesusa milele? Nia ni kufikisha ujumbe kama wanavyofanya huko unakotolea mifano na unaona kitendo walichofanya kimezaa matunda kwa hatua stahiki kuchukuliwa. Wewe kinachokuuma mashabiki wa Simba kususa ni nini, mbona umelivalia njuga halafu ni jambo limeshapita? Na nyie mlisusa kwenye mechi na Al Ahly mbona uwanja haukujaa hata nusu, tena hapo mmelishwa supu na kuletewa msanii mkubwaa kutoka Congo lakini wapiiii?
Unachobisha ni nini hasa? Unabisha hiyo mifano niliyoitoa kwamba hayo hayajatolea au ni nini hasa unachobisha unaposema Ulaya mashabiki hawasusi? Kukusaidia tu kususa kwa kiingereza rahisi ni "boycott", basi tumia bando lako vizuri ujielimishe, ingia google andika "fans boycott in EPL" uone mkeka utakatandikwa hapo. Maneno mengii halafu hakuna unachosema.Brother mpira sisimuliwi na naviona na rudia tena ulaya hamna mbamba ,attendance wanaweka wakati uleule mechi ikiendelea. Ulaya hamna utoto huo wa kususasusa kwani inaonyesha ww ni mchanga.
Hahahah, daah! Unazungumza kitu gani sasa?mtangazi kama sikosei alikuwa Mzinga,wakati akitangaza mechi Al Ahly na nyinyi alisema serikali ndio iliwapangia waingie kwa idadi ile.
Kwani mimi hapa sijatoa mifano?Unachobisha ni nini hasa? Unabisha hiyo mifano niliyoitoa kwamba hayo hayajatolea au ni nini hasa unachobisha unaposema Ulaya mashabiki hawasusi?
Halafu usidhani umetutoa kwenye reli, maada kuu bado ni uhabiribu mlioufanya, naona umeibadili mada kuhusu mambo yaliyopita.
Kwa hiyo hiyo unasema mifano niliyotoa ya Newcastle, Man U na Liverpool haikutokea au unataka kusema nini? Na hii ni mifano ya haraka tu ila najua nikisema niikumbuke mingine au kuitafuta mingine nitapata mingi tu.Kwani mimi hapa sijatoa mifano?
Nimekujliza hayo maandanano ya Brazil ya wapi huja ni jibu,tena huko Brazil watu ni machizi wa mpira.
Sijamtoa mtu kwenye reli uzuri clip si zipo ...... jambo lipo serikalini,nilicho shangaa kuituhumu Yanga ila kwenye ile Clip wanaopiga fataki na kurukaruka kwenye viti ni waarabu wa mkopo walio kula tano.
Ulaya mashabiki hawasusi kuingia uwanjani,ila wana njia zao za kufikisha ujumbe wanapo chukizwa.Ndio maana nimekuuliza ww mpira unatizamaga magoli,ila attendance ile wanayo tangazaga husikiagi.
Ni udogo na uchanga wenu wa kwenye soka ndio unawafanya msuse.
Umetoa mifano ya Newcastle, Man Utd na Liverpool ya kususia kuingia uwanjani....... ?Kwa hiyo hiyo unasema mifano niliyotoa ya Newcastle, Man U na Liverpool haikutokea au unataka kusema nini? Na hii ni mifano ya haraka tu ila najua nikisema niikumbuke mingine au kuitafuta mingine nitapata mingi tu.
Nilikwambia toka hapo juu, tatizo lako hausomi mada unarukia tu kwa mihemko. Pitia post za juu hapo na ukaniquote kabisa ila ukakimbilia kujibu halafu unanihoji kama nakumbuka nilichoandika? Hata mada hii haukusoma post ya kwanza kujua hasa inahusu nini ndiyo maana unaongelea habari za mafataki, wewe umeona kwenye kichwa cha habari timu yako imesemwa umerukia kuitetea. Unanipotezea muda wangu.Umetoa mifano ya Newcastle, Man Utd na Liverpool ya kususia kuingia uwanjani....... ?
Kweli unakumbuka ukicho kiandika..........
Wewe ndiye usomi kabisa nilicho kipost kwenye comment yangu ya kwanza unarukaruka kama bisi. Sasa ureply vip comment ya kwanza ,hivi ulikielewa nilicho kicoment na hoja yangu niliandika based on kitu gani au ndio unapayuka kama umekunywa maji ya mtaroni.Nilikwambia toka hapo juu, tatizo lako hausomi mada unarukia tu kwa mihemko. Pitia post za juu hapo na ukaniquote kabisa ila ukakimbilia kujibu halafu unanihoji kama nakumbuka nilichoandika? Hata mada hii haukusoma post ya kwanza kujua hasa inahusu nini ndiyo maana unaongelea habari za mafataki, wewe umeona kwenye kichwa cha habari timu yako imesemwa umerukia kuitetea. Unanipotezea muda wangu.
Humu JF kuna watu kama watatu nilishawamark, huwa mnapenda kubisha hata kama mnachobisha hakieleweki. Najua hapa tunaweza kukaa hadi asubuhi ili mradi tu usionekane umeshindwa kutetea hoja yako.
Aiseee! Uzi ni wangu halafu unanihoji kama nakumbuka nilichoandika? Ndiyo maana nakushangaa unakazania mambo ambayo hata hayahusiani na mada husika tena kwa hoja zisizokuwa na kichwa wala mguu. Eti unashangaa watu kususa. Unadhani protests na boycott zimeanzia wapi, wazungu waweze kususa kwenda makazini washindwe kususa mambo ya mipira? Unajidai unawajua wazungu wakati unawaona tu kwenye TVWewe ndiye usomi kabisa nilicho kipost kwenye comment yangu ya kwanza unarukaruka kama bisi. Sasa ureply vip comment ya kwanza ,hivi ulikielewa nilicho kicoment na hoja yangu niliandika based on kitu gani au ndio unapayuka kama umekunywa maji ya mtaroni.