Umesoma comments namba tatu......?
Kwa hiyo unacho umia kusema mashabiki mmesusa.....?sasa kwani uwongo mbona kwenye michezo radio watangazaji waona kam ninachoona mimi na watu kibao wanazungumzia mlivyo tangaza kususa kutizama mechi.
Halafu mimi humu nipo kutoa mtizamo wangu binafsi na sio kutizama wengine wamesema nini? Uzi ni wa kwako,platforms ni ya JF ambayo ni public so huna uwezo wa kumcontrol mtu yoyote kuchangia.
Nijishagae nini.... wakati hoja yangu nimeijenga based on reality ambayo ni clip.
Uzi wowote unaletwa na post ya 1 na siyo ya 3 wala ya 25. Jifunze kusoma na kuelewa post ya kwanza ya mleta mda kabla haujarukia kujibu. Unaponiuliza maswali mengi yasiyo na msingi na mimi nakuuliza, ulisoma post ya kwanza ambayo ndiyo msingi wa uzi huu na kuielewa vizuri kabla haujachangia?
Nilikuwa najizuia kukupa mifano zaidi ili ubaki na ubishi na ujinga wako maana najua kama una akili timamu ungefuatilia hiyo issue unayosema mwenyewe eti huko Ulaya hawasusi ila naona nimalizie kwa kukupa vipande vya mifano miwili hai. Ukiendelea kubisha utajijua mwenyewe....kama lugha ni changamoto hapo sina cha kukusaidia.
Hii ya Manchester United:
"Manchester United boss Erik ten Hag has sent out a plea to the Old Trafford faithful ahead of the club's clash with Liverpool on Monday, August 22. The Red Devils supporters have planned a boycott of the team’s upcoming league match, with the club’s ownership by the Glazers being the major sticking point."
Hii nyingine ni ya Arsenal:
Arsene Wenger has called on Arsenal fans to turn out in force for Tuesday’s game against Sunderland rather than take part in a boycott designed to hasten his removal as manager of the London giants.
“We are calling on fans that feel the same way to boycott tomorrow evening’s match against Sunderland,” the statement said.
“Please consider joining us in this boycott. Don’t sell your seat to a tourist or give it to a mate. Let yours be one of the many gaps in the stands that send a direct and unarguable message to the directors. You do not want to watch any more of the same old same old.
“By doing this, we can send a message to Stan Kroenke (Arsenal’s US-based owner) and Arsene Wenger that Arsenal should be doing so much better.”
Kama post hii haitakuwa imekuondolea ushamba wako basi umeshindikana.