Yanga ichukuliwe hatua kwa uharibifu iliyofanya juzi uwanja wa Mkapa

Ulimwengu umebadilika kuna camera za kisasa kbs za kutambua wahalifu, waliofanya uharibifu ni mashabiki sio timu, watambuliwe wachukuliwe hatua, tusitake kuua mhakifu kwa kupiga kivuli chake.
Uhalifu wa kuadhibiwa mtu mmoja mmoja ni ule ambao tukio linahusisha watu wachache sana, mfano watu 3 hadi 5. Tukio kama lile linalohusisha makundi makubwa ya watu huwa hukumu yake ni ya jumla. Msikimbie uhuni mliofanya, rungu linawahusu.
 
Aiseee! Uzi ni wangu halafu unanihoji kama nakumbuka nilichoandika? Ndiyo maana nakushangaa unakazania mambo ambayo hata hayahusiani na mada husika tena kwa hoja zisizokuwa na kichwa wala mguu. Eti unashangaa watu kususa. Unadhani protests na boycott zimeanzia wapi, wazungu waweze kususa kwenda makazini washindwe kususa mambo ya mipira?
Uzi wako si ungekaa nao kwenye simu yako.

Kwenye mpira sijaona wazungu wakisusa kuingia uwanjani, huo ndio ukweli wenyewe, wazungu wanabikigi na timu zao hata zikishuka daraja na wengine mpaka hutoa machozi Kawatizame Leicester City halafu uone wanavyojaza uwanja,baada ya kushuka msimu uliopita.

Kwenye mpira wazungu wana njia zao za kufikisha ujumbe ila sio kususa kuingia uwanjani.

Mimi hoja niliijenga kwenye comment namba tatu iliyoleta clip na kuwaponda wahudika wa kwenye ile Clip sababu clip ndio reality.

Halafu JF ni sehemu ambayo kuna mgongano wamawazo,so ukianza ngojera za "uzi wangu.......",baki nao kwenye simu kwani hii ni public platform.
 
Kama mleta mada nina haki ya kukushangaa unapohoji kama nakumbuka nilichoandika wakati ni wazi wewe ndiyo haujasoma mada inahusu nini. Uzi unahusu viti kurushwa kwa mashabiki wa Al Ahly, wewe umekazania mambo ya kususa, habari za mwaka 47. Angalia kote mitandaoni, hakuna mtu anayeongelea habari tena za mashabiki wa Simba kutokwenda uwanjani, umebaki wewe tu halafu hata haujishangai na unazilazimisha sehemu ambako hata hazihusiki.

Nimekupa mifano ya mashabiki wa EPL kususa ikiwemo kutokwenda viwanjani au kwenda na kutoka au kwenda na kutoshangilia timu yao, hizi tena ndiyo mbaya zaidi ya hata kutokwenda uwanjani, lakini kwa kuwa una pepo la ubishi umekalia tu kususa kususa. Na wewe susa kama unaona mashabiki wa Simba wanafaidi.
 
Kama mleta mada nina haki ya kukushangaa unapohoji kama nakumbuka nilichoandika wakati ni wazi wewe ndiyo haujasoma mada inahusu nini. Uzi unahusu viti kurushwa kwa mashabiki wa Al Ahly, wewe umekazania mambo ya kususa, habari za mwaka 47. Angalia kote mitandaoni, hakuna mtu anayeongelea habari tena za mashabiki wa Simba kutokwenda uwanjani, umebaki wewe tu halafu hata haujishangai na unazilazimisha sehemu ambako hata hazihusiki.
Umesoma comments namba tatu......?

Kwa hiyo unacho umia kusema mashabiki mmesusa.....? Sasa kwani uwongo mbona kwenye michezo radio watangazaji waona kam ninachoona mimi na watu kibao wanazungumzia mlivyo tangaza kususa kutizama mechi.

Halafu mimi humu nipo kutoa mtizamo wangu binafsi na sio kutizama wengine wamesema nini? Uzi ni wa kwako,platforms ni ya JF ambayo ni public so huna uwezo wa kumcontrol mtu yoyote kuchangia.

Nijishagae nini.... wakati hoja yangu nimeijenga based on reality ambayo ni clip.
 
Umesoma comments namba tatu......?

Kwa hiyo unacho umia kusema mashabiki mmesusa.....?sasa kwani uwongo mbona kwenye michezo radio watangazaji waona kam ninachoona mimi na watu kibao wanazungumzia mlivyo tangaza kususa kutizama mechi.

Halafu mimi humu nipo kutoa mtizamo wangu binafsi na sio kutizama wengine wamesema nini? Uzi ni wa kwako,platforms ni ya JF ambayo ni public so huna uwezo wa kumcontrol mtu yoyote kuchangia.

Nijishagae nini.... wakati hoja yangu nimeijenga based on reality ambayo ni clip.
Uzi wowote unaletwa na post ya 1 na siyo ya 3 wala ya 25. Jifunze kusoma na kuelewa post ya kwanza ya mleta mda kabla haujarukia kujibu. Unaponiuliza maswali mengi yasiyo na msingi na mimi nakuuliza, ulisoma post ya kwanza ambayo ndiyo msingi wa uzi huu na kuielewa vizuri kabla haujachangia?

Nilikuwa najizuia kukupa mifano zaidi ili ubaki na ubishi na ujinga wako maana najua kama una akili timamu ungefuatilia hiyo issue unayosema mwenyewe eti huko Ulaya hawasusi ila naona nimalizie kwa kukupa vipande vya mifano miwili hai. Ukiendelea kubisha utajijua mwenyewe....kama lugha ni changamoto hapo sina cha kukusaidia.

Hii ya Manchester United:
"Manchester United boss Erik ten Hag has sent out a plea to the Old Trafford faithful ahead of the club's clash with Liverpool on Monday, August 22. The Red Devils supporters have planned a boycott of the team’s upcoming league match, with the club’s ownership by the Glazers being the major sticking point."

Hii nyingine ni ya Arsenal:
Arsene Wenger has called on Arsenal fans to turn out in force for Tuesday’s game against Sunderland rather than take part in a boycott designed to hasten his removal as manager of the London giants.

“We are calling on fans that feel the same way to boycott tomorrow evening’s match against Sunderland,” the statement said.

“Please consider joining us in this boycott. Don’t sell your seat to a tourist or give it to a mate. Let yours be one of the many gaps in the stands that send a direct and unarguable message to the directors. You do not want to watch any more of the same old same old.

“By doing this, we can send a message to Stan Kroenke (Arsenal’s US-based owner) and Arsene Wenger that Arsenal should be doing so much better.”

Kama post hii haitakuwa imekuondolea ushamba wako basi umeshindikana.
 
Uzi wowote unaletwa na post ya 1 na siyo ya 3 wala ya 25. Jifunze kusoma na kuelewa post ya kwanza ya mleta mda kabla haujarukia kujibu. Unaponiuliza maswali mengi yasiyo na msingi na mimi nakuuliza, ulisoma post ya kwanza ambayo ndiyo m

Kama post hii haitakuwa imekuondolea ushamba wako basi umeshindikana.
Kuleta maada ww haina maana hauwezi kupingwa,ile Clip namba tatu ni imebeba reality na comment ya kwanza nimejibu kwa kutumia ile clip.ulicho andika ww ni chai nazo zinakinzana na ile clip.

Hii JF so unacholeta lazima wakichallenge na ile clip imeuchallenge huu uzi wako,so na mimi hoja zangu nimejenga kupitia ile clip. Pili mimi sifikiri based on your thread mimi nina dunia yangu na mawazo yangu,ambayo uyatoa baada ya kuthibitisha, sasa kama umeumia ni swala lako kwangu hakibadiliki kitu.

Brother mimi Naijua Arsenal,tokea enzi za kina Nwanko Kanu wanacheza game na zina onyeshwa DTV, tena kipindi hiko sina majukumu kama nilivyo sasa game nyingi za Arsenal ktk nyakati zote ilizo pitia nimeziangalia,Sijawahi kuona mashabiki wakisusia mechi.

Hiyo post ni ya mwezi gani na tarehe ngapi na mwaka gani,then ni taenda YouTube na kukupostia extended highlights ya hiyo mechi halafu uone kama mashabiki walisusa.
 
Una kipaji kikubwa sana cha ubishi ingawa siko impressed nacho, nakuonea huruma maana huo siyo ubishi unalea ujinga.

Screen Shot 2023-12-06 at 12.01.36 AM.png

Screen Shot 2023-12-06 at 12.02.12 AM.png

Screen Shot 2023-12-06 at 12.03.38 AM.png

Screen Shot 2023-12-06 at 12.04.10 AM.png

Screen Shot 2023-12-06 at 12.05.49 AM.png

Screen Shot 2023-12-06 at 12.06.26 AM.png

Screen Shot 2023-12-06 at 12.07.59 AM.png

Screen Shot 2023-12-06 at 12.08.43 AM.png

Screen Shot 2023-12-06 at 12.09.19 AM.png

Screen Shot 2023-12-06 at 12.09.40 AM.png
 
Kuleta maada ww haina maana hauwezi kupingwa,ile Clip namba tatu ni imebeba reality na comment ya kwanza nimejibu kwa kutumia ile clip.ulicho andika ww ni chai nazo zinakinzana na ile clip.

Hii JF so unacholeta lazima wakichallenge na ile clip imeuchallenge huu uzi wako,so na mimi hoja zangu nimejenga kupitia ile clip. Pili mimi sifikiri based on your thread mimi nina dunia yangu na mawazo yangu,ambayo uyatoa baada ya kuthibitisha, sasa kama umeumia ni swala lako kwangu hakibadiliki kitu.

Brother mimi Naijua Arsenal,tokea enzi za kina Nwanko Kanu wanacheza game na zina onyeshwa DTV, tena kipindi hiko sina majukumu kama nilivyo sasa game nyingi za Arsenal ktk nyakati zote ilizo pitia nimeziangalia,Sijawahi kuona mashabiki wakisusia mechi.

Hiyo post ni ya mwezi gani na tarehe ngapi na mwaka gani,then ni taenda YouTube na kukupostia extended highlights ya hiyo mechi halafu uone kama mashabiki walisusa.
Nilikuwa nakulindia heshima yako ila umenichosha na kunipotezea muda wangu. Ngoja tu nikuaibishe ili siku nyingine ujifunze mpuuzi mmoja wewee

Screen Shot 2023-12-06 at 12.24.23 AM.png

Screen Shot 2023-12-06 at 12.25.32 AM.png

Screen Shot 2023-12-06 at 12.29.20 AM.png

Screen Shot 2023-12-06 at 12.29.44 AM.png

Screen Shot 2023-12-06 at 12.30.29 AM.png

Screen Shot 2023-12-06 at 12.31.33 AM.png

Screen Shot 2023-12-06 at 12.32.39 AM.png

Screen Shot 2023-12-06 at 12.32.55 AM.png

Screen Shot 2023-12-06 at 12.34.34 AM.png
 
Attachments

  • Screen Shot 2023-12-06 at 12.30.11 AM.png
    Screen Shot 2023-12-06 at 12.30.11 AM.png
    159.6 KB · Views: 3
Uzuri sipo humu kumuimpress mtu.
Kuanzia leo ujue mashabiki wa Simba ni next level. Pamoja na kwamba kususa siyo jambo zuri lakini si jambo la kushangaza pale linapofanywa na watu wanaojitambua, wanafanya hivyo kwa mapenzi ya kweli waliyonayo kwa timu yao.

Baada ya kulimaliza hilo, turudi sasa kwenye mada kuu. Soma vizuri post ya kwanza halafu angalia video niliyoweka kwenye post # 59.
 
Haya sasa, taarifa imeshatoka kwa Yanga kutakiwa kulipiga gharama za uharibifu. Sijui wale wafia timu mna lipi la kusema.
joseph1989 Southern Highland na wengine....

Yanga yatakiwa kugharamia viti vilivyongo'olewa
Source: Clouds TV

Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo imewasilisha malalamiko rasmi kwa TFF na kuwataka Yanga kugharamia uharibifu uliofanyika uwanja wa Benjamin Mkapa kwenye mchezo wao dhidi ya Al Ahly .

Barua ya Wizara inasema:

Wizara ilitoa kibali cha kufanyika kwa mchezo wa kimataifa kati ya Yanga SC (Tanzania) dhidi ya Al-Ahly (Misri) katika Uwanja wa Benjamin Mkapa uliofanyika tarehe 2 Desemba, 2023 majira ya Jioni.

Hata hivyo, Wizara imepokea Malalamiko kutoka kwa Uongozi wa Uwanja ambapo mashabiki wa Klabu ya Yanga wanalalamikiwa kwa kuwasha fataki wakati mchezo ukiendelea na kusababisha vurugu zilizopelekea baadhi ya viti kung’olewa.

Wizara inakemea vikali kitendo hiki na kuwataka Klabu ya Yanga mara moja kuwasiliana na Uongozi wa Uwanja ili kuweza kubaini ukubwa wa tatizo na kuona namna bora ya kulitatua.

Kwa barua hii, Wizara inawasilisha rasmi malalamiko haya kwa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kwa kuwa ndiye mdhamini wa vilabu hivi kwa maombi ya matumizi ya Uwanja huu ili kuwajulisha Klabu ya Yanga SC kuwa inapaswa kugharamia matengenezo ya viti vilivyong’olewa na Mashabiki wakati wa mchezo huu.

Aidha kuwaonya mashabiki wao kuacha mara moja tabia hizi ili uendelea kustawisha michezo
na kuulinda Uwanja wa Benjamin Mkapa.
 
Sasa ulitegemea alipe nani wakati mechi aliye host ni Yanga, mf nimekupa ukumbi kwa ajili ya sherehe yako,then kwenye sherehe yako kaja mtu asiye alikwa na akaharibu mali za ukumbi, je hizo mali za ukumbi atalipa nani?
 
Hahaha! Kwa hiyo utetezi wako sasa umekuwa huo? Aisee kazi ipoo.....
 
Aisee kazi kweli kweli....uchunguzi unasema nyie ndiyo mmefanya fujo na hata video niliyopost imeonyesha hivyo
Uchunguzi kuna video zilipost nazani upande wenye vurugu si uliuona....... huja alikwa ila unakuja kufanya fujo kwenye mechi ya mwenzako na ninavyo wajua mashabiki wabongo walivyo na vichwa vibovu, baadhi ya mashabiki wa Yanga nao watakuja kufanya fujo mechi yenu, tupo hapa.Halafu utaona nani atakutana na rungu.
 
Unaongelea kualikana unadhani harusi ile? Ndiyo maana naona unatoa mifano ya harusi kwenye mambo ya mipira. Na kibongobongo hakuna mtu anafanya fujo kama ameshinda, ukiona kundi la watu wnaanzisha vurugu kwenye mpira ujue hawajapendezwa na matokeo sasa rudi uangalia tena katika matukio yale nani hawakuwa wamependezwa na matokeo utawapata wahalifu. Video inaonyesha mashabiki wa Yanga ndiyo wameanza kurusha viti upande wa mashabiki wa Al Ahly na ndiyo vurugu zinazoangaliwa hapa. Dogo, unabishana na serikali 😀😀😀
 
Walimu wanapata tabu sana mashuleni.Sasa wale waliokiwa wanaruka ruka juu ya viti hawaku pendezwa na matokeo....?
 
Kuruka juu ya viti haijawahi kuwa kosa la kisheria au kiusalama katika mpira sehemu yoyote duniani ila kurusha chupa, kiti au kitu kingine chochote kwa nia ya kumdhuru mshabiki mwenzio, mara nyingi tu adhabu zimetolewa kwa makosa hayo. Najua hilo unajua. Sitegemei kama unawabishia hivyo walimu wako huko shuleni, labda kama unawapa tabu kwa mambo mengine.
 
Back
Top Bottom