YANGA ILISHINDWA KUTOBOA KWENYE KUNDI DHAIFU SANA

Mhimili uliojichimbia

Senior Member
Joined
Jul 2, 2017
Posts
192
Reaction score
235
Yanga s.c alipangwa kundi moja na Al hilal Omdurman, MC Algers na TP Mazembe ambapo Al hilal aliongoza kundi huko MC Algers akishika nafasi ya pili, Yanga na TP Mazembe walikusanya vilago na kila mmoja kurudi kwao.

Kwenye hatua ya robo fainali Al hilal ambaye ni top of the group kapigwa nje ndani na Al alhly bila ya majibu huku MC Algers kapigwa kwao na Orlando Pirates bila ya majibu, kwa kifupi timu zote za group la Yanga hazijafunga goli hata moja kwenye quarter final kwa leg zote mbili huku zikipokea vichapo nyumbani kwao mbele ya mashabi wao.

Hii ni dhahiri kuwa hili kundi lilikuwa mdebwedo na bado nyuma mwiko walishindwa hata kupata nafasi ya pili hii ni aibu na fedheha kwa timu ambayo imejipachika jina la wa Kimataifa wa mchongo.
 
Kwenye hatua ya robo fainali Al hilal ambaye ni top of the group kapigwa nje ndani na Al Alhl bila ya majibu huko MC Algers kapigwa kwao na Orlando Pirates bila ya majibu, kwa kifupi timu zote za group la Yanga hazijafunga goli hata moja kwenye quarter final kwa leg zote mbili huko zikipokea vichapo nyumbani kwao mbele ya mashabi wao.

Hii ni dhahiri kuwa hili kundi lilikuwa mdebwedo na bado nyuma mwiko walishindwa hata kupata nafasi ya pili hii ni aibu na fedheha kwa timu ambayo imejipachika jina la wa Kimataifa wa mchongo.
Vipi nawe mbona humu ndani hujachukua kombe mwaka wa nne sasa..?
 
Kwa sababu ya fixing match GSM anadhamini timu 10 plus siasa ndani ya Ligi yetu nje ya Tanzania kuna haki hakuna double standards Simba hajawahi kufeli kufanya vizuri pale panapokuwa na sawa angalau hata wa asilimia 60
Ndiyo sababu kutochukua kombe?
 
Yanga s.c alipangwa kundi moja na Al hilal Omdurman, MC Algers na TP Mazembe ambapo Al hilal aliongoza kundi huko MC Algers akishika nafasi ya pili, Yanga na TP Mazembe walikusanya vilago na kila mmoja kurudi kwao.

Kwenye hatua ya robo fainali Al hilal ambaye ni top of the group kapigwa nje ndani na Al alhly bila ya majibu huku MC Algers kapigwa kwao na Orlando Pirates bila ya majibu, kwa kifupi timu zote za group la Yanga hazijafunga goli hata moja kwenye quarter final kwa leg zote mbili huku zikipokea vichapo nyumbani kwao mbele ya mashabi wao.

Hii ni dhahiri kuwa hili kundi lilikuwa mdebwedo na bado nyuma mwiko walishindwa hata kupata nafasi ya pili hii ni aibu na fedheha kwa timu ambayo imejipachika jina la wa Kimataifa wa mchongo.
Ingawa machi nane kolo alimkimbia.
 
Unamuona dhaifu Al Hilal ambaye katoa aggregate ya 2:0 dhidi ya Al Ahly ambaye ndiye timu bora kabisa kwa ukanda wa Africa wakati Simba alifungwa aggregate 3:0 dhidi ya Al Ahly.

Mc Alger unayezungumzia kuwa ni dhaifu, kacheza dhidi ya Orlando Pirates timu ambayo msimu huu ni un beaten na alikuwa kwenye kundi gumu sana lakini kawa ndiye un beaten. Na ndiye timu iliyoifunga Al Ahly nyumbani kwake. Hata kama ni mbumbumbu ila sio lazima ulazimishe kuudhihirisha mbele za watu.
IMG_20250410_210740.jpg
 
Yanga s.c alipangwa kundi moja na Al hilal Omdurman, MC Algers na TP Mazembe ambapo Al hilal aliongoza kundi huko MC Algers akishika nafasi ya pili, Yanga na TP Mazembe walikusanya vilago na kila mmoja kurudi kwao.

Kwenye hatua ya robo fainali Al hilal ambaye ni top of the group kapigwa nje ndani na Al alhly bila ya majibu huku MC Algers kapigwa kwao na Orlando Pirates bila ya majibu, kwa kifupi timu zote za group la Yanga hazijafunga goli hata moja kwenye quarter final kwa leg zote mbili huku zikipokea vichapo nyumbani kwao mbele ya mashabi wao.

Hii ni dhahiri kuwa hili kundi lilikuwa mdebwedo na bado nyuma mwiko walishindwa hata kupata nafasi ya pili hii ni aibu na fedheha kwa timu ambayo imejipachika jina la wa Kimataifa wa mchongo.
Kundi dhaifu kwenye michuano gani Confederation au Championship? Unafananisha cha ndimu na ligi kuu?
 
Hili kundi la Yanga lillikuwa dhaifu sana imagine timu namba moja na namba mbili ndio hizi zinacheza quarter final mechi zote mbili bila kushinda wala kufunga goli hata moja
Na Yanga walikuwa wakitudanganya wapo kundi gumu wakati wanasuasua
 
Kundi la Yanga imecheza vs group C.
Hapo huwezi kusema kundi la Yanga ni dhaifu kuliko timu zote wakati wapinzani wao wametoka katika group moja pekee. Labda useme group A ni dhaifu kuliko group C. Orlando Pirates sio timu nyepesi Al Ahly katandikwa huko huko kwake. Al Ahly anajulikana kwenye hatua ya mtoano ni habari nyingine kwenye klabu bingwa.
 
Kwamba unamaanisha hao wachovu Hilal na Mc Alger wangecheza na Pyramids au Mamelod wangepita?
 
Mc Alger angekuwa mchovu asingetoka kwa aggregate ya goli 1:0 angefungwa magoli mengi.
Al Hilal angekuwa mchovu angefungwa na Al Ahly kama alivyofungwa Belouizdad na Al Ahly (6:1) lakini wameonesha kupambana zaidi ya Simba alivyofungwa goli 3 na Al Ahly
 
Wachovu tu hao mechi zote mbili hawajafunga hata goli moja achilia mbali kushinda mechi
Kundi la Yanga ndio lilikuwa kundi bovu na dhaifu kuliko kundi lolote lile Al Hilal alifuzu kabla ya mechi mbili za mwisho katika kundi hilo ila amefurushwa robo fainali kwa kupigwa nje ndani bila kufunga goli lolote hata la offside likataliwe na var.
Unatolea mfano Simba ya msimu uliopita nani hajui kuwa ilikuwa mbovu kweli ikiwa na wazee wengi wasio na mwendo
 
Back
Top Bottom