YANGA ILISHINDWA KUTOBOA KWENYE KUNDI DHAIFU SANA

YANGA ILISHINDWA KUTOBOA KWENYE KUNDI DHAIFU SANA

Yanga s.c alipangwa kundi moja na Al hilal Omdurman, MC Algers na TP Mazembe ambapo Al hilal aliongoza kundi huko MC Algers akishika nafasi ya pili, Yanga na TP Mazembe walikusanya vilago na kila mmoja kurudi kwao.

Kwenye hatua ya robo fainali Al hilal ambaye ni top of the group kapigwa nje ndani na Al alhly bila ya majibu huku MC Algers kapigwa kwao na Orlando Pirates bila ya majibu, kwa kifupi timu zote za group la Yanga hazijafunga goli hata moja kwenye quarter final kwa leg zote mbili huku zikipokea vichapo nyumbani kwao mbele ya mashabi wao.

Hii ni dhahiri kuwa hili kundi lilikuwa mdebwedo na bado nyuma mwiko walishindwa hata kupata nafasi ya pili hii ni aibu na fedheha kwa timu ambayo imejipachika jina la wa Kimataifa wa mchongo.
Vipi ikikutana na simba inayoshika nafasi ya 4 kwenye ranks za CAF! Ni kutoboa tu. Siyo puani, siyo mguuni! Inatoboa tu.
 
Ile siku makundi yanapangwa yanga walifurahia sana kundi walilopangwa yanj walijua kabisa njia nyeupe tukutane robo fainali,sijui mambo yaligeuka vipi mpaka baadae tukaanza kutumia calculator nabado mambo yakagoma
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
Back
Top Bottom