Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
aAlly Kamwe kasema mashabiki wa Yanga walikua wanaenda inbox ya Mzize kumtukana na wengine wanatafuta namba yake ya simu kabisa. Sijui uvumilivu gani unaoungelea hapa?
Ongezea na Rami Rabia beki ya mpiraHao wote uliowataja walipokuja hawakuwa wakubwa. Walikuwa kama Mzinze tena wakati anakuja Yanga. Kwa hiyo huwezi kusema Yanga iliwaleta wachezaji wakubwa. Wachezaji wakubwa wanajulikana, kama Ronwen Williams, Perci Tau, El Shenawy, Hussein El Shahat, Mayele, Ramadan Sobhi and the like. Hao ukiwaleta unaweza kusema wamekuja wachezaji wakubwa, lakini sio akina Nzengeli
Fedha kwenye timu kubwa hazitokani na uuzaji wa wachezaji wake, bali udhamini mkubwa kutokana na mafanikio makubwa ya timu. Huwezi kuuza wachezaji wako imara halafu uwe timu kubwa Afrika na huwezi kupata fedha nyingi kwa kuuza wachezaji.Mzize ni bora kuliko Dube wakati anasajiliwa na Azam kutokea huko kwao Zimbabwe timu ndogo. Ndio maana Feisal alijiongeza kwa hizi mentality za kudharau wazawa