Yanga imekata moto, Ijiandae kwa vipigo

Umeanza kupata akili.Wenye akili sasa ni wawili na nusu. Wacha wenzio waendelee kukariri.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa c umjibu huyo dada alichokuuliza, mbona umeishia kumkejerii?
Kuwa fair atiiiii. Uwiiiiii
Huyo dada yy mwenyewe anajua sababu gani huwaga sitaki kumjibu, sio humu tu kwenye jukwaa lolote lile, sababu najua hana anacho kijua.

Ushajiuliza why ww pamoja na sometimes unakera ila still na kujibu?
 
Umeanza kupata akili.Wenye akili sasa ni wawili na nusu. Wacha wenzio waendelee kukariri.
Mimi sifikiri wala kuutizama mpira kiushabiki, maana ningekuwa mtu wa mihemko hata Arsenal ningeacha kuishabikia ila nina miaka zaidi ya ishirini na Arsenal. So mpira naujua na nyakati zake tofauti tofauti na zijua.

Hii sio mara kwanza nilishabishana sana na watu kwenye thread za nyuma humu humu JF,waliotaka Nabi aondoke sababu tu katolewa na Al Hilal Championship na kudroo Taifa na club African, ila baadae ndiye aliye ipeleka fainal Yanga.
 
Mimi sifikiri wala kuutizama mpira kiushabiki, maana ningekuwa mtu wa mihemko hata Arsenal ningeacha kuishabikia ila nina miaka zaidi ya ishirini na Arsenal. So mpira naujua na nyakati zake tofauti tofauti na zijua.
Kama ni mshabiki wa The Gunners basi utakuwa na uvumilivu na mpira utakuwa angalau unaujua.Kwa hiyo wewe sio Yanga "gongowazi".Yaani ni bisha mpaka unye.
 
Kama ni mshabiki wa The Gunners basi utakuwa na uvumilivu na mpira utakuwa angalau unaujua.Kwa hiyo wewe sio Yanga "gongowazi".Yaani ni bisha mpaka unye.
Bishana kwa facts aliyeleta uzi hana facts,bali malalamiko ambayo hayana maana.
 
Bishana kwa facts aliyeleta uzi hana facts,bali malalamiko ambayo hayana maana.
Kwanza mnaangaika na vijana wa mangungu awanaga hoja wanajificha kwenye kivuli cha yanga ovyo kabisa, ngoja tusubili walete iyo timu yao ndio tutaona kama yanga imekata moto ama vipi!
 
Safi Sana mkuu kwa ufafanuzi ulio bora
 
Kupigwa ni sehemu ya mchezo. Si juzi tumefungwa mbili? Uzuri wa Simba ina namna nyingi sana ya kufurahia soka.
Sawa mkuu lakn ni mapema sana kuanza kui underrated uto.
 
Reactions: Tsh
Huyo dada yy mwenyewe anajua sababu gani huwaga sitaki kumjibu, sio humu tu kwenye jukwaa lolote lile, sababu najua hana anacho kijua.

Ushajiuliza why ww pamoja na sometimes unakera ila still na kujibu?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila J, hayaa bhanaa.
 
😂😂😂😂😂😂😂
 
Yanga ipo vizuri sana na ndio maana Kila timu Kwa Sasa ikikutana na Yanga inapaki Basi Ili isipigwe nyingi

Maana wanajua kabisa wakisema na wao wafunguke mvua ya magoli itawangukia

Nasubiri mechi na Simba nione na wao watapaki Basi au watafunguka tuwapige nyingi
 
Imekata moto kocha anafanya selection mbovu nahisi alinipanic baada ya kupelekewa moto
 
Wameshamjulia huy kocha subiri game inayofuata ,maana kocha akiona amezidiwa anaanza ku panic
 
acha makasiriko mkuu mngeshenyetwa jana sema ndio hivo mpaka Aucho anapewa kadi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…