Yanga ina bahati ya kukutana na timu ngumu ngumu

Daah mi mwenyewe nimeshangaa wydad kapasuka kwa Rivers
 
Iv unakumbuka Simba aliongoza kundi ambalo Al ahly ipo ndg? Usijitoe ufaham hata hawa Agosto wangewapiga haya mashindano yanahitaji nidham sana sio dharau kama mlizokuwa mnafanya
Ule ulikuwa msimu wa corona kaka
 
Unashangaa vipi wakati mpira una matokeo 3.
Wydad nao wanacheza 11.kufungwa ni kawaida
Sawa ila huyu ni bingwa mtetezi tulitegemea ataanza na moto maana hata usajili kafanya mzuri pia.
 
Bango fake? 2020 tumemla 4-1 [emoji23][emoji23][emoji23] halaf tunaomba tupangwe nae kundi moja basi
Bango fake? 2020 tumemla 4-1 [emoji23][emoji23][emoji23] halaf tunaomba tupangwe nae kundi moja basi
Hata ule michezo wa kirafiki hilal pamoja na kushinda ila alipigwa msako mpaka wakataka kurusha ngumi.
 
Utashangaa zaidi utavyoona Waydad ndie atakaeufuzu kwenda group stage

Mpira wa africa timu ikiwa away inacheza tofauti na timu ikiwa home ground.

Vipers ka draw na mazembe akiwa uganda..
Yah Hilo linajulikana wydad atafuzu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…