Unataka kujua kwanini Yanga amekutana na Al Hilal(timu ngumu) na Simba akapewa De Agosto ambao ni wepesi???
Iko hivi, Kwenye hizi round za kwanza timu kubwa hukutana na timu ndogo. Huwezi kuona Al Ahly akipangwa na Wydad au RS Berkane Vs Simba au Mamelod Vs Mazembe. Ni mkubwa Agaist mdogo. Na ndio maana Yanga(underdog) akapewa Al Hilal, Simba(giant) kapewa De Agosto. Yanga Mkitaka kuvuka kwenye hicho kihunzi kuna Mstari mnapawaswa ku-uvuka, fungeni hao wakubwa mnaopangwa nao mpande daraja, sio lelemama lakini. Na kama mnataka kuona Simba akikutana na hao wakubwa wanaowasumbua inakuaje lipieni Visimbuzi vyenu yajayo yanafurahisha.