Lukub
JF-Expert Member
- Feb 5, 2012
- 3,622
- 4,100
Moto upi wakati Mahesabu ya wydad na experence ni kumaliza gemu nyumbani ,team zinatumia uwanja wa nyumbani vizuri ukikosa matokeo nyumbani ni ulegevu ,team za Nigeria zote zimeshinda nyumbani ndio maana ligi yao ipo kumi bora point zao zinaongezeka Sasa sisi tuna team Moja tu imayoweza kushinda nyumbani point zinaongezeka kidogo.Team zingine zimemsusia Simba haya ,ashindanoSawa ila huyu ni bingwa mtetezi tulitegemea ataanza na moto maana hata usajili kafanya mzuri pia.