Yanga ina bahati ya kukutana na timu ngumu ngumu

Hivi Agosto unalijua kweli we?

Agosto ni bingwa wa Angola nchi ambayo pia yupo Petro de Luanda.
Kweli nyie Utopolo?!! ni hivi Namungo aliwafunga kwa figisu hapo kwa MKAPA akisema kikosi Cha kwanza na wachezaji walio Baki Wana korona [emoji109][emoji109][emoji109][emoji109]
 
Tuwekee ushahidi kama Agosto ni bingwa wa Angola
 
Soma hiyooo, This is Simbaaa
IMG-20220928-WA0030.jpg
 
Je mnajua kama vipers wa siku ya mwananchi amedroo na TP mazembe Leo.

Na mnajua kama Rivers wamemfunga bingwa wa Africa WAC na ni mtu mwenye akili mbovu tu ndo atalinganisha Al hilal na hawa agosto wa namungo
Timing yetu mahali Ila tutozonga mbele tu ngoja tuajiwe wale wapuuuzi watatujuwa ss Ni Nani haswa

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Je mnajua kama vipers wa siku ya mwananchi amedroo na TP mazembe Leo.

Na mnajua kama Rivers wamemfunga bingwa wa Africa WAC na ni mtu mwenye akili mbovu tu ndo atalinganisha Al hilal na hawa agosto wa namungo
Kila mtu acheze mechi zake kwa kadiri droo ya CAF ilivyoamua. Umeitaja Vipers na Rivers, sijajua ni kwa nini haujaitaja Zalan
 
Huna bundle?
Mwisho utasema nikununulie [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]

Unajijua umesema uongo ndio maana umekwepa kuweka ushahidi..

Bingwa wa ligi kuu ya Angola mwaka 2022 ni Petro Atretico Luanda..

Hivi Agosto unalijua kweli we?

Agosto ni bingwa wa Angola nchi ambayo pia yupo Petro de Luanda.
Kweli nyie Utopolo?!! ni hivi Namungo aliwafunga kwa figisu hapo kwa MKAPA akisema kikosi Cha kwanza na wachezaji walio Baki Wana korona [emoji109][emoji109][emoji109][emoji109]
Acah uongo kak dah acha uongon
Nimekuwekea msimamo waligi kwa sas na msimu uliyopitaView attachment 2382031
Screenshot_20221009-225841.jpg

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Unajijua umesema uongo ndio maana umekwepa kuweka ushahidi..

Bingwa wa ligi kuu ya Angola mwaka 2022 ni Petro Atretico Luanda..

Upo sahihi Utopolo ila haiifanyi De Agosto kuwa timu dhaifu Bali utaona ni imara na nzuri.

Hivyo uipe kongole Simba kwa Ushindi wa ugenini?
Timu inayopambana na Petro de Luanda kila msimu unasemaje mbovu? Na ikiwa imeshika nafasi ya pili?

Au Girabola unaifananisha na ligi yenu ya chupli chupli pira bahasha pira mganga[emoji38][emoji38][emoji109][emoji109] mkifika Kimataifa chalii aka kifo Cha mende
 
Attachments

  • Screenshot_20221009-230207.jpg
    Screenshot_20221009-230207.jpg
    31.8 KB · Views: 1
Back
Top Bottom