Moto upi wakati Mahesabu ya wydad na experence ni kumaliza gemu nyumbani ,team zinatumia uwanja wa nyumbani vizuri ukikosa matokeo nyumbani ni ulegevu ,team za Nigeria zote zimeshinda nyumbani ndio maana ligi yao ipo kumi bora point zao zinaongezeka Sasa sisi tuna team Moja tu imayoweza kushinda nyumbani point zinaongezeka kidogo.Team zingine zimemsusia Simba haya ,ashindanoSawa ila huyu ni bingwa mtetezi tulitegemea ataanza na moto maana hata usajili kafanya mzuri pia.
Daah mi mwenyewe nimeshangaa wydad kapasuka kwa Rivers
Utashangaa zaidi utavyoona Waydad ndie atakaeufuzu kwenda group stage
Mpira wa africa timu ikiwa away inacheza tofauti na timu ikiwa home ground.
Vipers ka draw na mazembe akiwa uganda..
Je, mnajua kama Vipers wa siku ya mwananchi ametoa sare na TP Mazembe leo?
Na mnajua kama Rivers wamemfunga bingwa wa Africa WAC na ni mtu mwenye akili mbovu tu ndiyo atalinganisha Al Hilal na hawa Agosto wa Namungo?
Sawa
Hao wagumu sisi tulipiga 4.View attachment 2382022
Je, mnajua kama Vipers wa siku ya mwananchi ametoa sare na TP Mazembe leo?
Na mnajua kama Rivers wamemfunga bingwa wa Africa WAC na ni mtu mwenye akili mbovu tu ndiyo atalinganisha Al Hilal na hawa Agosto wa Namungo?
Ule ulikuwa msimu wa corona kaka
Utopolo ni Utopolo tu, Weka rank ya CAF hapa tuone, we ni wa ngapi, na de agosto ni ya ngapi?Je, mnajua kama Vipers wa siku ya mwananchi ametoa sare na TP Mazembe leo?
Na mnajua kama Rivers wamemfunga bingwa wa Africa WAC na ni mtu mwenye akili mbovu tu ndiyo atalinganisha Al Hilal na hawa Agosto wa Namungo?
@Mshana Jr, naona leo umeamua kutembea na mwamba mwenye wingi wa tabasamu!
Peleka ujinga Huko, Mbona sis hao Al Hilal tuliwafunga nne Moja Taifa na nyie mmeshindwaJe, mnajua kama Vipers wa siku ya mwananchi ametoa sare na TP Mazembe leo?
Na mnajua kama Rivers wamemfunga bingwa wa Africa WAC na ni mtu mwenye akili mbovu tu ndiyo atalinganisha Al Hilal na hawa Agosto wa Namungo?
What is your logic ? Astoni villa alimfunga Liverpool goli 7 lakini mbona hakuweza kuchukua ubingwa au kufunga wengine Saba? Mpira hauko hivyo kwasababu Fulani amemfunga Fulani ndio Bora sana. Mpira inategemea jinsi ulivyojiaanda na mpinzani wako Yukoje.Je, mnajua kama Vipers wa siku ya mwananchi ametoa sare na TP Mazembe leo?
Na mnajua kama Rivers wamemfunga bingwa wa Afrika WAC na ni mtu mwenye akili mbovu tu ndiyo atalinganisha Al Hilal na hawa Agosto wa Namungo?
Umeiona iyo namba 9.Acah uongo kak dah acha uongon
Nimekuwekea msimamo waligi kwa sas na msimu uliyopitaView attachment 2382031View attachment 2382032
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Tofautisha kuongoza na na mtoano aisee, wale Al ahly mngekutana nao kwenye mtoano ingekua ishu nyingine , kumbuka na hao hao ndio walichukua kombeHivi unakumbuka Simba aliongoza kundi ambalo Al ahly ipo ndugu? Usijitoe ufahamu hata hawa Agosto wangewapiga haya mashindano yanahitaji nidham sana sio dharau kama mlizokuwa mnafanya.
Hayo yamekuja baada ya nyie kutoa sare na Al hilal..Ila kabla ya hapo mlikuwa mnajidanganya eti Kwa lupaso Al hilal iwe mvua iwe Jua wanafungwa[emoji23].. na afisa habari wenu akawajaza ujinga kuwa Al hilal n timu ya kawaida....Je, mnajua kama Vipers wa siku ya mwananchi ametoa sare na TP Mazembe leo?
Na mnajua kama Rivers wamemfunga bingwa wa Afrika WAC na ni mtu mwenye akili mbovu tu ndiyo atalinganisha Al Hilal na hawa Agosto wa Namungo?
Uwekezaji wa kuchukua wachezaji free agents [emoji23]Ali Kamwe alisema uwekezaji mliofanya nyie ni mkubwa kuliko al hilal baadae akaja msukule wenu yule akasema iwe jua iwe mvua.
Baada ya kushindwa kufanya vizuri hapo kwa Mkapa mmeanza vilio
Kwaio yanga ni mbovu sana eeh. Tena ni underdog kabisa mwiko nyuma ukiwa kama mkiaJe, mnajua kama Vipers wa siku ya mwananchi ametoa sare na TP Mazembe leo?
Na mnajua kama Rivers wamemfunga bingwa wa Afrika WAC na ni mtu mwenye akili mbovu tu ndiyo atalinganisha Al Hilal na hawa Agosto wa Namungo?
Agosto ya Namungo ndio timu gani mkuu? Maana umekazana tu Agosto ya Namungo Agosto ya NamungoSisi hatujalia ila Kuna mapimbi wanafananisha al hilal na agosto ya Namungo