Yanga ina mashabiki wasio na kazi. Jangwani kumefurika nyomi hakuna pa kukanyaga wanafuatilia droo ya CAFCL

Umesema sahihi sana Mkuu, lakini ungesindikiza Uzi wako huu na picha ingekuwa bomba sana Chifu ili sisi matomaso tukose sababu😜
Kabisa, bila picha bado Uzi haujakamilika...😂😂
 
Weka picha na video tuwaone hao wanywa supu. Mtu anapanda daladala 1500 kwenda kurudi iliaende kkoo kunywa supu ya 2000. Hali ni ngumu na kama unavyojua sehemu kubwa ya mashabiki wa ile timu ni wala mihogo kwa mjibu wa rais wao.
 
Yanga na Simba zote zina hiyo tabia ya kujazana klabuni asubuhi. Ila wale wa Yanga naona wamezidi. Kuna jamaa aliacha ajira nzuri Kigoma ili tu awe anashinda pale klabuni Jangwani.
Ili akizeeka apate cha kuhadithia wajukuu,ni kweli kesho asubuhi pale msimbazi kuna jamaa namfahamu kwa kukusanya watu kumsikiliza atakuwa anawapa nondo za ushindi utadhani yeye ni kocha au mjumbe wa kamati ya utendaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…