Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
halafu kuna jobless wewe umekaa nyuma ya keyboard kutukana wenzio walioamua kuwa wawazi kwamba wao ni joblessNingekuwa na uwezo ningeenda kuwachapa bakora hao mashabiki,jumatatu hii muda wa kazi hakuna pa kukanyaga mitaa ya jangwani na atwiga kisa droo ya CAFCL,hizi timu ni msiba,
ngoja wakanyagwe na Tp mazembe akili zitawakaa sawaNingekuwa na uwezo ningeenda kuwachapa bakora hao mashabiki,jumatatu hii muda wa kazi hakuna pa kukanyaga mitaa ya jangwani na atwiga kisa droo ya CAFCL,hizi timu ni msiba,
Kabisa, bila picha bado Uzi haujakamilika...😂😂Umesema sahihi sana Mkuu, lakini ungesindikiza Uzi wako huu na picha ingekuwa bomba sana Chifu ili sisi matomaso tukose sababu😜
Ina vijana wenye biashara zao, wameacha wafanyakazi kwenye ofisi zaoNingekuwa na uwezo ningeenda kuwachapa bakora hao mashabiki,jumatatu hii muda wa kazi hakuna pa kukanyaga mitaa ya jangwani na atwiga kisa droo ya CAFCL,hizi timu ni msiba,
Umeanza kupandisha kichaa chako.Mola akuepushe na hiyo dhahma.🙏Yanga ndiyo timu pekee ya mpira wa miguu hapa Tanzania
Ili akizeeka apate cha kuhadithia wajukuu,ni kweli kesho asubuhi pale msimbazi kuna jamaa namfahamu kwa kukusanya watu kumsikiliza atakuwa anawapa nondo za ushindi utadhani yeye ni kocha au mjumbe wa kamati ya utendajiYanga na Simba zote zina hiyo tabia ya kujazana klabuni asubuhi. Ila wale wa Yanga naona wamezidi. Kuna jamaa aliacha ajira nzuri Kigoma ili tu awe anashinda pale klabuni Jangwani.