Yanga ina mashabiki wasio na kazi. Jangwani kumefurika nyomi hakuna pa kukanyaga wanafuatilia droo ya CAFCL

Yanga ina mashabiki wasio na kazi. Jangwani kumefurika nyomi hakuna pa kukanyaga wanafuatilia droo ya CAFCL

Asilimia 90 ni mashabiki wa Yanga
IMG_3824.jpeg
 
Umesema sahihi sana Mkuu, lakini ungesindikiza Uzi wako huu na picha ingekuwa bomba sana Chifu ili sisi matomaso tukose sababu😜
Kabisa, bila picha bado Uzi haujakamilika...😂😂
 
Yanga na Simba zote zina hiyo tabia ya kujazana klabuni asubuhi. Ila wale wa Yanga naona wamezidi. Kuna jamaa aliacha ajira nzuri Kigoma ili tu awe anashinda pale klabuni Jangwani.
Ili akizeeka apate cha kuhadithia wajukuu,ni kweli kesho asubuhi pale msimbazi kuna jamaa namfahamu kwa kukusanya watu kumsikiliza atakuwa anawapa nondo za ushindi utadhani yeye ni kocha au mjumbe wa kamati ya utendaji
 
Back
Top Bottom