Yanga ina mashabiki wasio na kazi. Jangwani kumefurika nyomi hakuna pa kukanyaga wanafuatilia droo ya CAFCL

Yanga ina mashabiki wasio na kazi. Jangwani kumefurika nyomi hakuna pa kukanyaga wanafuatilia droo ya CAFCL

Ili akizeeka apate cha kuhadithia wajukuu,ni kweli kesho asubuhi pale msimbazi kuna jamaa namfahamu kwa kukusanya watu kumsikiliza atakuwa anawapa nondo za ushindi utadhani yeye ni kocha au mjumbe wa kamati ya utendaji
Hatari. Na wakikutana huwa wa Phd anakuwa na akili sawa na wa Std 1
 
Ningekuwa na uwezo ningeenda kuwachapa bakora hao mashabiki,jumatatu hii muda wa kazi hakuna pa kukanyaga mitaa ya jangwani na atwiga kisa droo ya CAFCL,hizi timu ni msiba,
Umechelewa sana kujua, Kuna wakati Manji alitoa ofa waingie bure kwa Mkapa, uwanja ulijaa saa 12 alfajiri, Hadi Waandishi wa Habari walikosa nafasi
 
Ningekuwa na uwezo ningeenda kuwachapa bakora hao mashabiki,jumatatu hii muda wa kazi hakuna pa kukanyaga mitaa ya jangwani na atwiga kisa droo ya CAFCL,hizi timu ni msiba,
Mashabiki wa Yanga ni:-
  1. Madalali wa nyumba na vyumba.
  2. maafisa ubashiri.beti
  3. Waganga wa jadi.
  4. Mawinga Kariakoo.
  5. Wauza kashata.
  6. Wapiga debe.
  7. Pocket pickers .
  8. Wabeba mizigo.
  9. Maafisa usafirishaji/bodaboda.
Hao wote wamejiajiri, muda wowote wanapatikana na hawana ratiba maalum.
 
Umechelewa sana kujua, Kuna wakati Manji alitoa ofa waingie bure kwa Mkapa, uwanja ulijaa saa 12 alfajiri, Hadi Waandishi wa Habari walikosa nafasi
Sema nao wana mchango mkubwa kufanya ligi ya Tanzania iwe bora na yenye hela.
 
1727413885745.png
 
Unauhakika wote waliopo hapo hawana kazi?
 
Hili gazeti ni la lini? Ningekuwa mimi ni wwziri ningelifungia maisha hili gazeti
Madikteta wachache msio na madara mnatamani kwenda kuumiza wengi, kwani wewe na wenzako wenye akili kama zako mnajiona mpa sawa, hujui kwa ulichoandika unaonyehsa vile una medula yenye FUNZA WEUPE NA NZI WA KIJANI?
 
Ningekuwa na uwezo ningeenda kuwachapa bakora hao mashabiki. Jumatatu hii muda wa kazi hakuna pa kukanyaga mitaa ya Jangwani na Twiga kisa droo ya CAFCL, hizi timu ni msiba.
We ungekuwa na kazi ungekuwa na muda wa kuandika ulichokiandika hapa JF?
 
Ningekuwa na uwezo ningeenda kuwachapa bakora hao mashabiki. Jumatatu hii muda wa kazi hakuna pa kukanyaga mitaa ya Jangwani na Twiga kisa droo ya CAFCL, hizi timu ni msiba.
90% ya wapenzi kindakindaki wa simba na Yanga akili zao ha,ina akili
 
Vijana wajinga sana hizi timu za Simba na Yanga zimeleta ujinga sana kwa vijana wa Tanzania.
Mwenzio kaitaja Yanga, wewe hao makolo unawatajia nini?

Halafu kama kweli ni ujinga, hivi huoni kuwa na wewe kuwa sehemu ya mjadala ni ujinga mwingine?? Inawezekana kuwa wewe ni nyani asiyeona mkhundu wake..!!
 
Ningekuwa na uwezo ningeenda kuwachapa bakora hao mashabiki. Jumatatu hii muda wa kazi hakuna pa kukanyaga mitaa ya Jangwani na Twiga kisa droo ya CAFCL, hizi timu ni msiba.
Si Bora hao majobless lakini wanajitafutia kwa nguvu zao, vipi wewe unayesubili shemeji yako akuletee chakula na wakati huo unalala sebuleni kwake!
 
Mkuu una hoja lakn uzi wako uko biased! Kwa kifupi tz kuna mazwazwa mengi ,,, ! Watu 24/7 ni mpira tu huko vijiweni kujadili,,,, utasikia sijui aziz k akafanyaje, mara mukwala tumepigwa, sijui fei anatoka na nani,,,, ili mradi mpira tu ! Mara penalties, sijui GSM kafanyeje,,,Mo kasusa n.k ! Hizi timu 2 za kariakoo hazikauki midomoni mwa watu ,,,, unakumbuka kipndi samatta anasajiliwa villa ? Kwenye page zao za mitandao tulikuwa tunatia aibu,,,, same applies to yule dada nimemsahau jina anacheza Brighton ya wanawake Epl, akipostiwa tu mizwazwa inaenda kujaza comment na upuuuz mwingi ,,,, ! Tunaonekana hatujitambui na hatuna majukumu mengi , ama ni ushamba wa mitandao ? Tuna safari ndefu sana ! Slogan ya lowassa (r.i.p) ilikuwa elimu, elimu elimu
 
Si Bora hao majobless lakini wanajitafutia kwa nguvu zao, vipi wewe unayesubili shemeji yako akuletee chakula na wakati huo unalala sebuleni kwake!
Unaongea kujireflect maisha yako,mimi mpambanaji sana,nilishasafiri sana,nikiwa na miaka 20 nilishapanda ndege kutafuta maisha nchi za watu
 
Back
Top Bottom