Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 16,096
- 49,651
Kwa kweli, Kuna watu bila ushahidi wa picha tutasema mtoa mada ni mzushi tuKabisa, bila picha bado Uzi haujakamilika...😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa kweli, Kuna watu bila ushahidi wa picha tutasema mtoa mada ni mzushi tuKabisa, bila picha bado Uzi haujakamilika...😂😂
Hatari. Na wakikutana huwa wa Phd anakuwa na akili sawa na wa Std 1Ili akizeeka apate cha kuhadithia wajukuu,ni kweli kesho asubuhi pale msimbazi kuna jamaa namfahamu kwa kukusanya watu kumsikiliza atakuwa anawapa nondo za ushindi utadhani yeye ni kocha au mjumbe wa kamati ya utendaji
Umechelewa sana kujua, Kuna wakati Manji alitoa ofa waingie bure kwa Mkapa, uwanja ulijaa saa 12 alfajiri, Hadi Waandishi wa Habari walikosa nafasiNingekuwa na uwezo ningeenda kuwachapa bakora hao mashabiki,jumatatu hii muda wa kazi hakuna pa kukanyaga mitaa ya jangwani na atwiga kisa droo ya CAFCL,hizi timu ni msiba,
Mashabiki wa Yanga ni:-Ningekuwa na uwezo ningeenda kuwachapa bakora hao mashabiki,jumatatu hii muda wa kazi hakuna pa kukanyaga mitaa ya jangwani na atwiga kisa droo ya CAFCL,hizi timu ni msiba,
Sema nao wana mchango mkubwa kufanya ligi ya Tanzania iwe bora na yenye hela.Umechelewa sana kujua, Kuna wakati Manji alitoa ofa waingie bure kwa Mkapa, uwanja ulijaa saa 12 alfajiri, Hadi Waandishi wa Habari walikosa nafasi
Hili gazeti ni la lini? Ningekuwa mimi ni wwziri ningelifungia maisha hili gazetiAsilimia 90 ni mashabiki wa YangaView attachment 3117802
Mallessa ya Geita haendi KGM,Labda unawahi furu upeleke Gambushi.MMimi nafuatilia mubashara nikiwa safarini na basi la Mallessa lenye kingamuzi,nawahi kununua migebuka kigoma nilete dar
Madikteta wachache msio na madara mnatamani kwenda kuumiza wengi, kwani wewe na wenzako wenye akili kama zako mnajiona mpa sawa, hujui kwa ulichoandika unaonyehsa vile una medula yenye FUNZA WEUPE NA NZI WA KIJANI?Hili gazeti ni la lini? Ningekuwa mimi ni wwziri ningelifungia maisha hili gazeti
We ungekuwa na kazi ungekuwa na muda wa kuandika ulichokiandika hapa JF?Ningekuwa na uwezo ningeenda kuwachapa bakora hao mashabiki. Jumatatu hii muda wa kazi hakuna pa kukanyaga mitaa ya Jangwani na Twiga kisa droo ya CAFCL, hizi timu ni msiba.
90% ya wapenzi kindakindaki wa simba na Yanga akili zao ha,ina akiliNingekuwa na uwezo ningeenda kuwachapa bakora hao mashabiki. Jumatatu hii muda wa kazi hakuna pa kukanyaga mitaa ya Jangwani na Twiga kisa droo ya CAFCL, hizi timu ni msiba.
Mwenzio kaitaja Yanga, wewe hao makolo unawatajia nini?Vijana wajinga sana hizi timu za Simba na Yanga zimeleta ujinga sana kwa vijana wa Tanzania.
Si Bora hao majobless lakini wanajitafutia kwa nguvu zao, vipi wewe unayesubili shemeji yako akuletee chakula na wakati huo unalala sebuleni kwake!Ningekuwa na uwezo ningeenda kuwachapa bakora hao mashabiki. Jumatatu hii muda wa kazi hakuna pa kukanyaga mitaa ya Jangwani na Twiga kisa droo ya CAFCL, hizi timu ni msiba.
Unaongea kujireflect maisha yako,mimi mpambanaji sana,nilishasafiri sana,nikiwa na miaka 20 nilishapanda ndege kutafuta maisha nchi za watuSi Bora hao majobless lakini wanajitafutia kwa nguvu zao, vipi wewe unayesubili shemeji yako akuletee chakula na wakati huo unalala sebuleni kwake!