Yanga Ina watu wazito, hii ndo bodi ya wadhamini waliochaguliwa

Kamati ya siasa ya Ccm in back ground.

Tunapowaambiaga kila siku hapa timu za Simba na Yanga zinamilikiwa na serikali kuna viziwi huwa hawaelewi.

Bodi ya wadhamini ndio wamiliki wa timu na Mali zote za timu.

ukweli mtupu. Katika nchi yetu tunashabikia haya mambo kwa kujitoa ufahamu tu. Ila kiukweli ndani yake kuna mambo ya hovyo sana. Ni vile tu hakuna mifumo imara ya kushughulika nayo.
 
alafu kwenye mikutano yenu msiishie kusema tu raisi bali mseme raisi wa yanga nyie mnaoongozwa na hao waarabu.
 
hujui kitu wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…